Hivi mabilioni yote tuliyokopa yameenda wapi?

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
529
Reaction score
1,494
Kwa mabilioni yaliyokopwa na taifa kupitia CCM, tulipaswa kuona maendeleo ya dhahiri: barabara za kisasa, reli imara, hospitali zenye vifaa vya kisasa, elimu inclusive bila kero, na ajira sustainable kwa vijana. Hizo fedha zingeweza kubadilisha kabisa standard of living ya mwananchi wa kawaida.

Lakini ground reality ni tofauti. Maisha ni magumu kupita maelezo, bei za bidhaa kila siku juu, ajira hakuna, na deni la taifa linaendelea kupanda kwa kasi. Money borrowed ≠ development delivered.

CCM, don’t underestimate our intelligence. Wananchi tunahitaji accountability pesa zimepelekwa wapi? Kukaa kimya huku future ya vizazi ikizama kwenye madeni ni economic betrayal isiyokubalika.
 
Watu wanatunyonya mpaka na wajukuu zetu ambao bado hawajazaliwa....CAG akitoa ripoti inafukiwa chapchap tukatae ulofa
 
Sio zile watoto wa Mombo wanachezea huko mtandaoni,na lile Buggati la Abdu.Aaah Tanzania maskini nchi yangu
 
Kwa mabilioni yaliyokopwa na taifa kupitia CCM, tulipaswa kuona maendeleo ya dhahiri: barabara za kisasa, reli imara, hospitali zenye vifaa vya kisasa, elimu inclusive bila kero, na ajira sustainable kwa vijana. Hizo fedha zingeweza kubadilisha kabisa standard of living ya mwananchi wa kawaida.

Lakini ground reality ni tofauti. Maisha ni magumu kupita maelezo, bei za bidhaa kila siku juu, ajira hakuna, na deni la taifa linaendelea kupanda kwa kasi. Money borrowed ≠ development delivered.

CCM, don’t underestimate our intelligence. Wananchi tunahitaji accountability pesa zimepelekwa wapi? Kukaa kimya huku future ya vizazi ikizama kwenye madeni ni economic betrayal isiyokubalika.
Mikopo ya kimataifa imesukwa zaidi kuzi hujumu nchi za ulimwengu wa 3 ...tujiulize kwanini wanatukopesha japo wananchi wa hizo nchi awataki hiyo mikopo isiyo na tiji yoyote na kwanini wanazidi kutukopesha pasipo manufaa yoyote ....si kila mikopo ajenda yake ni kumkomboa mkopaji ....mingi ya mikopo ipo maususi kuwa tia utumwani wakopaji kwa manufaa ya wakopeshaji. Samia ni laana kubwa sana kwa taifa asipo.malizwa na uongozi wake kusambaratishwa lazima taifa lizame..
 
Baba Ridhiwan na Mama Abdul wana taarifa zaidi juu ya swali lako!
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    26.4 KB · Views: 24
Back
Top Bottom