mabibo

Mabibo is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 73,978.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Nyumba inauzwa Mabibo Hostel, Nyerere road.

    Nyumba inauzwa Frem 4 Nyumba 3, Ndani Bei: 750milioni Document: Mirathi Sqm: 818 Mtaa: Kibangu Kata: Makuburi Manispaa: Ubungo kwa sasa! Eneo linafaa kwa matumizi yote. Main road: mita 8 Piga simu 0712347749 Tufanye biashara....
  2. EvilSpirit

    Hivi huyu mama Mwarabu bado yupo Mabibo Hostel?

    Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa...
  3. Roving Journalist

    Wafanyabiashara Soko la Ndizi Mabibo: Rais Samia tunaomba tusaidie tupate hati ili soko lijengwe

    Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
  4. Boss la DP World

    Msaada: Nafikaje Ofisi za Uhamiaji Magomeni nikitokea Mabibo Sokoni?

    Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara. Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi. Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
  5. emmarki

    Ni shule gani ya msingi (english medium) iliyoko Mabibo na viunga vyake

    Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku. Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
  6. R

    DOKEZO Panya road wavamia Jitegemee, Mabibo

    Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi. Baada ya taarifa kuwa polisi wanawashugulikia panya road na baadhi wakionekana kukamtwa, imekuaje wakaibuka tena?
  7. Roving Journalist

    Dar: RC Makalla atembelelea Masoko ya Simu 2000 na Mahakama ya ndizi Mabibo

    *RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO - Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na serikali wakae kupendekeza vibanda uniform rafiki kwa wafanyabiashara. - Wafanyabiashara wapongeza...
  8. Erythrocyte

    KERO Responded Hali ya soko la Mabibo wakati wa mvua ni mbaya sana

    Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2 Toa maoni yako . ================================ WADAU WALALAMIKIA MIUNDOMBINU NA USAFI WA SOKO LA MABIBO Soko la Mabibo...
  9. MtamaMchungu

    Mabibo jeshini nini kinaendelea, biashara zimepamba moto

    Kama ni mpitaji au mkazi wa maeneo ya Mabibo jeshini, hivi karibuni shughuli za kibiashara zimekuwa zikichipuka kila siku, pembezoni mwa barabara upande wa kambi ya jeshi. Nini kimetokea au kubadilika siku za hivi karibuni? Yale maeneo yanauzwa au kukodishwa au ni biashara za jeshi? Mwenye...
  10. Kyodowe

    IGP Sirro, kuna Polisi watatu Tip Top barabara ya kuelekea Mabibo wanakusanya rushwa

    Kuna vijana wako watatu, WP wawili na mwanaume mmoja mwembamba. Wako hapa TipTop barabara ya kuelekea Mabibo. Wanakusanya rushwa kwenye daladala na bajaji kama vile konda anavyokusanya nauli kwenye daladala. WP kazi yao ni kusimamisha halafu konda wa kukusanya ni huyo mwanaume. Nilikuwa...
  11. nakwede97

    Biashara ya matunda Buguruni ama Mabibo

    Wapendwa habari zenu nina mtaji wangu kidogo nataka fanya biashara ya kuchukua parachichi na ndizi Moshi nije niuze kati ya hayo masoko hapa sina uzoefu wa hayo masoko ningependa nipate kasehemu kakuweka mzigo na kuuza reja na jumla Msaada mwenye kufahamu
Back
Top Bottom