mabegi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi mafundi wa umeme (wiring) mnavyopanda na mabegi yenu darini mnatafutaga nini hivi?

    Wale wajenzi na mafundi, tafadhali tusaidiane katika hili. Mara nyingi huwa mnapanda juu mkibeba mabegi na waya zetu za wiring. Swali langu ni: kule juu huwa mnafanyia nini na hayo mabegi? Na je, tunapowasachi tunakosea kweli? Tusijaribu kuingizana kwenye majaribu, wapendwa. Jana nilikuwa...
  2. Mabegi kama haya nitapata wapi Dar, Mwanza, Arusha au Dodoma?!

    Asanteni
  3. K

    PreGE2025 MNEC Mlao: Vijana tujitokeze kugombea nafasi za uongozi - tusiwe wabeba mabegi ya viongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani. Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
  4. Karibu ujipatie viatu mbalimbali vya michezo, mipira, jeans, t-shirt, kofia na mabegi mbalimbali

    Habari wanajukwaa, wafanyabiashara, na wote. Naomba niwakaribishe kwaajiri ya kujipatia viatu mbalimbali vya michezo, viatu vya kawaida, jeans, t-shirt kali na jezi OG kabisa. Tupo Karume kwa viatu vya michezo, mipira, guard pia kuna discount kwa anayechukua full yaani viatu, soksi na guard...
  5. SGR wanaibia wateja kwenye uzito wa mabegi

    GTs, Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi ni TZS 4000. Pamoja na kuwa wanatoa receipts za EFD na control number ila naona wizi upo tu maana...
  6. Offa msimu wa krismass Mabegi ya watoto ya shule kwa 17,000 tu

    Njoo nikupe begi Imara kwa na quality ya juu kwa bei ya kufunga mwaka. Nicheki 0783973428 Nipo kariakoo Dar es salaam
  7. I

    Naweza kupata vifaa hivi vya kuunda mabegi?

  8. Nafasi ya ajira; Kazi ya kuuza mabegi

    Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale 2) Umri asizidi miaka 25 3) jinsia awe wakiume 4) Awe...
  9. B

    Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  10. Mabegi yaliyojaa fedha zikiwemo CFA franc, dola na euro yameripotiwa kukutwa katika nyumba ya msaidizi wa Nourredine Bongo, mtoto mkubwa wa kiume wa R

    Angalia mwenyewe hizo fedha zilivyo nyingi kuna CFA franc, dola na euro zimo nyumbani kwa mtoto wa kiongozi wa Rais Ali Bongo aliyepinduliwa.
  11. Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  12. Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

    Naombeni mnijuze wakuu
  13. Pata pochi, mabegi ya shule na safari begi kwa bei nafuu

    Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana. Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  14. Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

    Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana. Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili...
  15. T

    Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

    Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
  16. Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Jamani najua mko poa! Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello, yaani unakuta mkaka mzuri, msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni, hivi mnawekaga nini...
  17. A

    INAUZWA Mabegi yanauzwa

    Wasalamu kwa wote Mabegi yanauzwa kwa Bei ya jumla. Nikwawakazi wa Arusha na Moshi. Agiza tukuletee ulipo. Bei ni 16,000 chini ya pic 100. Ila kuanzia pic 100 ni shilingi 15,000. Karibu asante Kwa mawasiliano 0717636375
  18. I

    PITA HAPA: nauza mikoba na mabegi kwa jumla:

    Wapendwa poleni na majukumu. Karibuni Sana nauza mikoba na pochi za kike pamoja na begi kwa bei ya jumla . Napatikana dar temeke Karibuni Sana mikoni tunatuma kwa njia ya basi.  0694 185 384
  19. A

    Hata mkague mabegi hamtakuta tena ARV’s, kuna sindano siku hizi

    Maendeleo ya tiba ni kuwa unaweza kuchomwa sindano itakayo dhibiti wadudu humo mwilini na huhitaji kubugia yale madonge kila siku. Taarifa hii imetolewa rasmi siku ya lile gonjwa 01/12/ ya kila mwaka. Maendeleo haya yako kule wanakotutumia ARV’s kwa msaada.
  20. Biashara ya Bidhaa za Mitumba( Second hand products)

    Habari wakuu! Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc. Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…