mabaunsa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri kwa mzee wangu Mangungu Zanzibar njoo na mabaunsa hawa watu hawafai

    Ushauri wangu ni huu🤝🤝🤝🤝🤝🤝👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
  2. Mabaunsa wapewa onyo kali

    Mabaunsa wamepewa onyo kali kutojihusisha na mapenzi yasiyofaa kwa kuendekeza njaa. Wameaswa kulinda kazi yao ya Ulinzi badala ya mapenzi ya kudhalilisha Utu na kazi yao.
  3. Derby ya June 15 itahairishwa tena ikiwa mabaunsa wataizuia Simba kufanya mazoezi?

    Moja ya sababu ya Simba kugomea mechi ilikuwa ni kuzuiwa na mabaunsa kufanya mazoezi Je itakuwaje tena Mabaunsa wakiwazuia Simba kufanya mazoezi? Yanga ndo mwenyeji wa mechi Bado, ndo atakuwa na majukumu yote mchezo, kama bodi ya ligi walijiridhisha kuwa mabaunsa wa Yanga walifanya vile...
  4. Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge Sugu

    Wakuu shobo mbaya sana aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato...
  5. Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge sugu

    Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula...
  6. Tuisaidie Polisi kuwabaini mabaunsa walioleta vurugu uwanjani

    Kama unajua jina na anapoishi. Huyu anakiri mwenyewe kuwa alishiriki kuwazuia Simba kuingia uwanjani:
  7. Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?

    Je ni kweli kua mazoezi yanakula mwili?? Mwili ndio mwili Yaan unaisha
  8. Hawa 'Mabodigadi' na 'Mabaunsa' waliowapokea Klabu hii ya Libya ni Wanaume Wenzetu kweli ni 'Wapiga Miluzi' Tukuka?

    Halafu ninasikia 99.9% ni Mashabiki wa Walioko wa Wataalam wa Kuwapigia Miluzi Wenzao Pwani ya Afrika Mashariki!!!
  9. Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

    Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023. Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
  10. U

    Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

    Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
  11. Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

    Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili. Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli. Huenda hizo food supplements zina...
  12. Diwani CCM aeleza jinsi ‘mabaunsa’ wa Sabaya walivyomsulubu

    Julai 27, 2021, kesi ya unyang’anyi iliyomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya iliendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na shahidi wa tano wa Jamhuri, Seleman Msuya (36) aliieleza mahakama alimwona Sabaya akiongoza ‘vijana wake’ kuingia duka la Shaahid...
  13. M

    Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

    Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu
  14. Kassim Majaliwa: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwa na mabaunsa

    Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi yanayowekwa nembo ya Serikali. Vilevile, wametakiwa kuacha kutumia vibaya Sheria inayowapa mamlaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…