mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anafuatilia maudhui yanayorushwa kwenye tv za mabasi yanayosafirisha abiria?

    Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwenda mikoa mbalimbali na kuna maudhui mbalimbali (muziki na filamu) yanarushwa kwenye tv za basi. Vyombo hivi vya usafiri husafirisha watu wa umri tofauti, undugu wa karibu na dini tofauti. Maudhui yanayorushwa wakati Fulani hayazingatii mazingira ya wasafiri...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

    CCM wanalazimisha sana kukubalika Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
  4. JamiiForums Tanzania Mabasi mawili yagongana Mbeya uso kwa uso leo October 7

    Afande Awadhi Hajji ( Mkuu wa Operesheni na Mafunzo)alikuwa anasema jana amefika Mbeya kutazama kama matayarisho ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yanaendeles vizuri na pia kutazama suala la usalama barabarani lakini ajali imetokea kule leo. Mabasi mawili, moja likiwa mali ya Kampuni ya Kapricon...
  5. JamiiForums Tanzania Songwe: Vyoo vya Kituo cha Mabasi Mpemba Tunduma vyarekebishwa

    Vyoo vinavyotumiwa na Wanaume katika Kituo cha Mabasi cha Mpemba kilichopo Tunduma vimerekebishwa na sasa vinatumika. Awali, Mdau wa JamiiForums.com alisema kati ya sehemu 10 zinazotumika kwa haja ndogo ni 3 tu ndio zinatumiwa, nyingine ni mbovu. MKURUGENZI – TUNDUMA Akizungumzia suala hilo...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Responded Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  7. JamiiForums Tanzania MNAONAJE UJIO MPYA WA MABASI YA MWENDOKASI maker@scania Boarded by @marcopolo

    Siku sio nyingi katika ukurasa wa @scaniatanzania walitoa taarifa za kuhusu ujio mpya wa mabasi mapya ya mwendokasi. Upande wangu mradi utakua mzuri kama mradi utafanyika bila kuwa na mkono wa pande yoyote serikali au viongozi -kwa sasa Mabasi yatatengenezwa na scania(BRAND FROM USA), boarded...
  8. JamiiForums Tanzania Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  9. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani. Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
  10. JamiiForums Tanzania WAZO: Wamiliki wa mabasi fungeni kamera ulinzi (CCTV Camera) japo kwenye lango la kuingilia abiria

    Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi. Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
  11. JamiiForums Tanzania Msafara wa Mwenge kusimamisha safari za mabasi Kwa masaa 4 ni udikiteta.

    Nimetoka kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi alifajiri saa 12 Kwa basi la Rukwa Raha. Tumefika kijiji cha Chala majira ya saa 2 hivi asubuhi. Cha kushangaza tumekuta mabasi yamesimamishwa hapa Tangu saa 1 asubuhi Kwa Kisingizio cha kutoingilia msafara wa Mwenge àmbao unatokae Sumbawanga. Kutoka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi LATRA inajitambua kweli? Arusha-Babati mabasi yanakataa kupakia abiria, leseni ya usafirishaji inasemaje?

    Kuna tabia ya ajabu hapa stand kuu Arusha, mabasi makubwa hasa yanayotoka Moshi hayapakii abiria hata km kuna nafasi. Ila matajiri wanamdharau huyu rais wa sasa, haya mambo sikuyaona kabla, wakati nauli ni TZS 6,000 mabasi yalikuwa yanapakia abiria. Sahivi nauli ya serikali ni TZS 8,000, pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania Sauli ni mfano wa wamiliki wa mabasi waliofilisiwa na madereva fake

    Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji. Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi...
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 20 hadi kumiliki mabasi

    Ila matajiri wa bongo bwana. wamekuwa motivational speakers kuliko uhalisia. Tajiri wa kitanzania na mmiliki wa mabasi ya Super feo anasema yeye alianza na mtaji wa elfu 20 tu na sasa anamiliki mabasi mengi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  16. JamiiForums Tanzania Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

    Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika. Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Stand ya mabasi Mwenge

    Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
  18. JamiiForums Tanzania SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

    Haya ndio matokeo ya SGR, imeleta machaguo zaidi kwa abiria. Sasa hata nauli Abood imeshuka kutoka 13,000 mpaka 10,000. SSH5tena
  19. JamiiForums Tanzania Mikataba ya TACTIC ya ujenzi wa Barabara, Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko Kuu la Jiji yasainiwa Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Kero ya usafiri wa mabasi

    Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…