mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kituo cha Daladala Bunju B kiondolewe, kinasababisha foleni

    Kituo cha Daladala Bunju B tunaomba kiondolewe mahili kilipo sasa kisogezwe sehumu nyingine. Kituo hicho kinasababisha foleni muda wote, nimepita hapo leo saa 12 asubuhi foleni ni kubwa sana imechukuwa takribani dakika 10 kupita hapo. Pia wafanyabiashara wameingia mpaka eneo la barabara hali...
  2. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi na wasafiri wa Mbeya na ushabiki wa mwendokasi wa mabasi ya abiria

    Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini. Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwanza - Mbeya

    Salaam. Nina Safari ya kutoka Mwanza kwenda Mbeya hivi karibuni. Natambua hii ni moja Kati ya Safari ndefu zaidi Kwa mabasi Tanzania. Naomba kupata taarifa updated kuhusu usafiri wa njia hii , hasa hasa nauli, basi zuri na muda wa kufika Mbeya.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

    Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea. Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kodi ya uzalendo kwenye tiketi za mabasi ili tukamilishe SGR haraka zaidi

    Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo hizo. Serikali sasa inaendeshwa kwa njia ya "hapendwi mwananchi bali kodi yake" Mwigulu amekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

    Habari zenu wanajukwaa! Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo. Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Napinga hoja ya RC Makalla ya kulazimisha Mabasi yote ya Mikoani kupakia na kushusha abiria Stendi ya Magufuli pekee

    Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Mabasi mapya 70 ya Mwendokasi yamehifadhiwa eneo la hatari sana

    Serikali inaleta gari 70 baada ya kuziingiza kwenye mzunguko watu wapate nafuu ya mateso wanayoyapata kwa sasa matokeo yake gari wameenda kuzimwaga pale Jangwani, hata kama ni swala la usajili na vibali serikali ikiamua lake haiwezi zidi wiki moja lakini mwezi unaenda kukata wameyabwaga pale...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi wapandisha nauli kwa wanafunzi, SUMATRA na Polisi wabariki kadhia hii

    SUMATRA na Polisi mnaposhindwa kudhibiti kadhia ya ongezeko holela la nauli kipindi hiki Cha kurejea mashuleni kwa wanafunzi tunashindwa kuelewa mnapewa nn na wamiliki wa mabus. Wanafunzi wasio na fedha wamekwama stendi mikoani kwa kushindwa kupata huduma, mabus yanakata tiketi kwa bei...
  12. JamiiForums Tanzania Social distancing kwenye mabasi irudi, RC Makalla tusaidie

    Kwakoo Mh. Amos, baba hali iliopo tumefurahi kuhimiza watu wavaee barakoa wanawe Baada ya hapo naonba niweke wazi nilivhokiona jana basi za Tegeta - Kariakoo Wapendwa kwa yanayoendelea kama basi zinaruhusiwa kujaza vile wataisha wataisha Ukweli mabasi haya watu wanapumuliana live hakuna njia...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa mabasi ya mikoa wanasimamisha gari za abiria hotel za bei mbaya?

    Serikali yetu hembu tusaidieni sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inazidi shamiri sna kwa wale ndugu zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa Mafundi Magari waliokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli yatolewa

    JESHI la Polisi kitengo cha Usalama barabarani, limetoa mafunzo kwa mafundi magari waliyokuwa ndani ya Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam kwa lengo la kuwafundisha jinsi ya kutambua vifaa ambavyo vipo kwenye magari hayo. Mafunzo hayo yametolewa leo Mei 29, 2021 na Mkuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kurejesha matumizi ya kadi kwa abiria mabasi ya Mwendokasi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ameagiza kuanzia Julai Mosi mwaka huu, kuanza uhakiki wa tiketi za kielektroniki katika usafiri wa mabasi yaendayo kwa haraka kwa kutumia mfumo wa posi ili kudhibiti upotevu wa mapato. Amesema kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Safari za mabasi: Tuelimishane maandalizi muhimu kabla ya safari ndefu

    Toilet paper - Siwezi kujisafisha na yale maji ya vyoo vya kuchimbia dawa. Vidonge vya Fragyly (endapo tumbo likizingua) na panadol (kichwa kikiuma) Sinunuagi chakula njiani, huwa kinapkwa asubuhi nakiweka kwenye hotpot Maombi, haya ni muhimu kabla na baada ya safari. Kuchaji simu / power...
  17. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya Mikoani Buses zinazokimbiza Mikoani

    Kuna hizi buses ... Kwa mikoani ni buses gani zinakimbiza sana? Maana kuna jamaa ana sema zhing tong ndo balaa. Mi nafahamu haya mabasi tupeane uzoefu kwa mbio ni buses zipi zina nguvu/speed 1. Yu Tong 2. Higer 3. Golden Dragon 4. Scania 5. Zhang Tong 6. Marco polo
  18. J

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

    Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa. Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao. Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  20. JamiiForums Tanzania Ubovu wa Stand ya Mabasi ya Bukoba

    Hii ni Stendi Kuu Bukoba Mjini, Je, kwa Ubora Huu Unaweza kuilinganisha na Stendi ipi hapa Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…