mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Tozo ni kete inayotumika kuelekea Mabadiliko ya kweli tuliyoyatamani kwa muda mrefu

    Poleni kwa tozo, Mwenye akili timamu kabisa hawezi fikiri KUWA Mama kaanzisha Tozo kupitia waziri wa fedha Ili kuwaudhi watanzania Ili waje wamchague tena MWAKA 2025. Pia kwamba Mwigulu nchemba kaanzisha Tozo Ili wananchi wamchukie Halafu ategemee eti MWAKA 2025 achukue fomu ya urais Ili...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu zitakazochochea mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala, kilimo,afya, uchumi, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo. Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali. Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Responded Mikopo ya 10% isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali. Mapungufu na ufumbuzi

    Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Takwimu ziwaongoze wananchi katika kujenga uchumi

    Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna mipaka wala haujaeleweka kikamilifu. Bado kuna mambo mengi ambayo hupatikana kwa kushtukiza au yapo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Ustahimilivu kwa Wakulima dhidi ya mabadiliko ya Tabia Nchi

    USTAHIMILIVU KWA WAKULIMA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI. Utangulizi Mabadiliko ya Tabia nchi ni jumla ya mabadiliko ya hali ya hewa ya eneo fulani. Kilimo ni jumla ya shughuli zinazohusisha uzalishaji wa mazao mbalimbali kwa ajili ya chakula ama biashara. Shughuli za kilimo zimekua na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu na wasomi wapongeza pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Afrika

    Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto za Jamii, Sera, Teknolojia - ajira

    Binadamu hupitia nyakati tofauti katika maisha yake. Kuna nyakati za mafanikio na Kuna nyakati za mkwamo. Tofauti hizi za nyakati zinaonesha jinsi maisha ya mwanadamu yanavyopata mabadiliko ya hali kiuchumi na kijamii. Mabadiliko haya ni matunda ya fikra kukabili Changamoto za maisha. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sensa kwa mwaka huu 2022, tofauti na miaka mingine, je yana tija kwa wananchi?

    Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida? Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na: 1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo) 2: matumizi ya vishikwambi 3: mabadiliko ya siku, (sensa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunaweza kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi Tanzania na Afrika

    Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini Afrika ina historia ambayo ni giza tupu na imejawa majonzi, manung’uniko,jasho na damu. Historia ambayo...
  11. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko Afrika

    Iliaminika kuwa bara la Afrika lipo nyuma katika kila kitu. Dhana ambayo hadi hii leo bado inatumikakulididimiza bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Kipindi cha ukoloni karne ya 19 hadi 20 africa ilitawaliwa na wazungu. Swali amabalo najiuliza kwa nini babu zetu hawakukata?. kwa nini...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

    Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Mazingira Duniani [“UN Environment Progromme –UNEP”] (Juni, 2022), athari za ongezeko la nyuzijoto 1.1 ziko hapa leo na zinaongezeka kwa kasi, hivyo kusababisha matukio mabaya ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mawimbi ya joto, ukame, mafuriko, dhoruba za...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Teknologia na Utamaduni Bora: Suluhu Bora ya Hitaji la Mabadiliko Yenye Tija Tanzania

    1. UTANGULIZI Jamii ya Tanzania kama jamii nyingine za nchi za Afrika zenye historia ya kutawaliwa, inakumbwa na changamoto ya kustahimili maendeleo endelevu katika kila secta, iwe Elimu, Afya, Uchumi, Uwekezaji, Kilimo, Viwanda na hata Utalii. Licha ya uwepo wa mifumo bora ya kiuongozi na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waongoze kudai mabadiliko / mageuzi

    VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simba SC isihofie mabadiliko ikiwa inataka kufika mbali kisoka katika bara la Africa na duniani kwa ujumla

    Ahlan Ahlan bik Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc. Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus nchini ugiriki .Jiioni nikiwa naitazama bahari ya meditterenian katika kitongoji cha Freattyda nikawa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kukosekana kwa Ajira kwa Vijana Wengi Kumeibua Ajira Mpya kwa Waajiriwa

    Kuna Wimbi kubwa sana la Vijana mtaani wanaomaliza masomo yao katika Ngazi mbalimbali za Elimu lakini vijana hao wapo mtaani wakihaha na Kuwaza ni lini watapata Ajira Rasmi, Ilhali wapo Vijana ambao walichukua Uamuzi wa Kujiongeza na kuthubutu kujiajiri kutokana na kile walichokipata wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye historia hakuna mabadiliko yaliyoletwa kwa kulalamika

    Hii nchi inaweza kuwa inaongoza kuwa na raia wanao lalamika na hakuna hatua wanayo chukua. Napitia sana vitabu mbalimbali vya kimageuzi duniani, sijaona nchi ambayo baada ya malalamiko ya muda mrefu kuna mageuzi yalifanyika. Kwa kifupi malalamiko ni kele za chura, haziwezi zuia ng'ombe kunywa...
  19. JamiiForums Tanzania Funzo uchaguzi wa Kenya: Wananchi wamechagua uchumi badala ya mabadiliko ya vifungu vya katiba, CCM wako njia sahihi ya kujenga uchumi

    HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida yao sio katiba nyingine, shida yake ni kukomboa mama mboga na mtu wa bodaboda, kwamba shida ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kama kutosinzia kutasaidia kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika taifa; Watanzania tukeshe sasa

    Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania. Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono juhudi. Kama Rais halali, wewe ni nani unalala. Unapata wapi usingizi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…