Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Akifungua kikao cha Kamati Kuu (National Steering Committee) ya...
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya namna ya kuboresha ushirikiano katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, ngazi ya Mamlaka za...
Katika mwaka mmoja uliopita tangu Donald Trump kurejea Ikulu ya White House, sera ya Marekani kwa Afrika imeanza kubadilika kimya kimya. Barua ya ndani ya mkuu wa Idara inayoshughulikia mambo ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Nick Checker, iliyovuja hivi karibuni, ilifichua...
Photo: fintechassociation.africa/
Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji.
Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?
Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio...
Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa.
Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti.
Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo.
Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
Kwa sasa wenye mamlaka wameamua kutumia silaha zote dhidi ya wanaotetea Haki, Utawala Bora na Demokrasia.
Wameona kuua, kuteka na kupoteza haitoshi hivyo sasaivi wamevifanya vyombo vyote vilivyotegemewa na Wananchi wa kawaida kuwa dhidi ya Wananchi hao. Kutumika kwa Mahakama kukandamiza Haki...
Wakuu,
Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko
Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani
Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
ccm
chama
haramu
katiba
katiba ya chama
katiba ya nchi
kubadili
kubadili katiba
kufanya
mabadilikomabadilikoyamabadilikoya katiba
mgombea
nchi
njia
wameshindwa
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo...
Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari.
Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii.
Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.