Msonjo amenunua gari kwa ajili ya biashara ya daladala, ameenda kuomba leseni ya usafirishaji abiria. Ikawa hivi:-
Msonjo – wewe mama, mupe mimi laseni (leseni) ya gari.
Afisa-Leseni (Nkyekuu Minja) – leseni ya udereva au? Gari ya kazi gani?
Msonjo – wewe hapana sikia musuri? Asisumbue mimi...