maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia: Jenga Nchi na Wasogeze wenye Maarifa wakuongezee na wewe umalize salama.

    Habari za jion wanajamii wote. Kwa bashasha kbsa naomba nitoe Rai kwa Rais Samia, Tanzania ina watu wazuri wenye unafiki, makelele na kupoteza maboya watu hasa wasiojiamini na wasionamaarifa mapana kwenye ngazi ya uongozi, kwako Samia kundi la Kikwete na wanamtandao kwa ujumla wao nyakati za...
  2. V

    Soma vitabu ongeza maarifa

    Nauza vitabu ya course ya udaktari Kwa wale wanafunzi wa medical doctor Vitabu hivi vitawapa sana madini Niko dar es salaam Contact 0657710078 Bei maelewano
  3. Viongozi wetu wa dini tumuombe Mungu Maarifa sio Mvua

    Sitaki kupuunza nafasi za Viongozi wa Kiimani lakini haizuii ukweli kuwa wana nafasi ya kuielimisha Jamii zaidi ya kujaribu kuficha tatizo. Ningetamani badala ya kufanya juhudi za kuomba mvua basi Wangechagua siku moja ya ibada watoke na Waumini wapande miti ili kutibu mazingira. Mimi naamini...
  4. Katika maisha tunahitaji kichwa chenye ubongo na akili zenye maarifa

    Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo. Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri nzito ndani ya neno sijui na kuna maumivu makali ndani ya neno niko sawa alisema muhenga wa kale...
  5. Ushauri kwa Wanaotetea Machinga: Poleni sana, Mlishindwa kufanya kipindi chenu kwa kukosa maarifa! Tulieni wenye maarifa wawaoneshe inavyofanyika

    Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda! Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa...
  6. K

    Bernard Membe ni kachero asiye na maarifa, mwingi wa tamaa na majivuno

    Kuna wqtu utumika kumsifia Membe kama kachero Mbobezi bila kueleza amebobea kwenye lipi? Je, nchi yetu inaweza kujivunia Membe Kama kachero au ni mtumishi wa Umma aliyeajiriwa ofisi nyeti kwa kipindi flani? Kwa namna alivyojitanabaisha wakati akiwa Mbunge, akawa Waziri na baada ya kupokonywa...
  7. Taifa langu linateketea kwa kukosa maarifa

    Speech Mh. Samia Suluhu Hassan jana akihojiwa na Kikeke wa BBC naona imeligawa taifa. Kwamba tabaka la watawala na Watawaliwa. Na kwamba ukishaazishwa uongo basi unasimamiwa na wote ili kulinda madaraka. Kundi hili la watawala wanawatoza watawaliwa wanyonge makodi makubwa bila kujali kama...
  8. Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
  9. Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia...
  10. D

    Watu wenye 'potential' na masikini kwanini hawachunguzwi?

    Nilikuwa na maongezi ya simu na mpya wangu. Aliniuliza kwanini mtu akionekana ana mali, hasa kama ni mtumishi wa serikali huishia kuchunguzwa? Kwani serikali inataka watu wake waishie kuwa maskini? Akaniuliza vipi wale watu wenye potential zote za kufanikiwa na bado ni maskini, kwanini...
  11. CHADEMA mnaaminisha watu kuwa mna akili sana ila maarifa ni zero, huwezi tengeneza amri kama wewe siyo mtawala

    Msemo wa Kiswahili akili nyingi huondoa maarifa unaakisi hulka za CHADEMA katika harakati zao za kudai katiba mpya. Ni sheria ya asili (Natural Law) kwamba sheria hutengezezwa na wenye mamlaka ili kutawala waliobaki. Mfano 1. Mungu alitengeneza mwenyewe amri kumi zake akampa musa atuletee...
  12. J

    CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

    Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM. Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM. Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla...
  13. Asome ipi kati ya kozi hizi ili kupata ujuzi na maarifa ya kujiajiri?

    Naomba tushauriane katika hili wakubwa. Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi 1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting 2. Bachelor of Business Administration 3. Bachelor of Computer Application
  14. Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

    Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu: 1. Isaack Newton 2. Albert Einstein 3. Stive Jobs 4. Eric Yuan 5. Sergey Brin na Larry Page Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao. 1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
  15. B

    Namna Rostam Aziz alivyotoa hoja Kenya, ni kielelezo cha utajiri bila maarifa

    Rostam Aziz ameshambuliwa na makundi mbalimbali nchini Kenya baada ya kutoa maoni yake kuhusu mfumo wa biashara wa nchi hiyo huku akieleza kutotekelezwa ahadi ya Mhe. Rais ya Kenya aliyompa miaka kadhaa yakuwekeza kwenye gesi. Rostam hajawahi kuishambulia Wala kuzungumza chochote kibaya kuhusu...
  16. Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

    Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana. Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic...
  17. X

    Tunaendelea kutumia mali badala ya maarifa

    Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja na kinyume chake umaskini hutokana na ukosefu/upungufu wa hivyo. Kwakuwa si rahisi sana kwa mtu...
  18. X

    Tunaendelea kutumia mali badala ya maarifa

    Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja na kinyume chake umaskini hutokana na ukosefu/upungufu wa hivyo. Kwakuwa si rahisi sana kwa mtu...
  19. S

    Walimu wa vyuo vikuu ambao hawajawahi kufanya kazi katika field wanazofundisha, wanaweza kuwa walimu wazuri?

    Habari wakuu, Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…