maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Jeshi la Polisi watuliza maandamano

    Nawapa neno moja kwa leo, Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa. Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha wazibebe wakatulize maandamano???? Bila shaka huyo akilenga mguu risasi itaenda tumboni mwa mwananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Mabango ya Maandamano ya Tarehe 07/07/2026 yaanza kusambazwa

    Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7. Wanataka TUNDU LISSU aachiliwe huru. Wanadai Katiba Mpya Kutaka Mateka wote waachiliwe huru Na utawaka haramu utoke madarakani.
  3. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme nchi nzima ni mbinu ya kupooza maandamano ya July 7

    Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ataondoka siku ya maandamano au kabla ya hapo, akielekea SERBIA

    Wanadai anakwenda kuzindua mkutano wa uwekezaji kati ya Tanzania na Serbia. Utakaouzindua tarehe 8 Julai, Belgrade, Serbia, saa sita mchana, akiwa na Rais wa Serbia, Alexander Cucic Sekta walizotaja ni madini, kilimo, nishati, utalii, tehama, viwanda, na mabenki na mengineyo...
  5. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu—Maandamano 7/7 yatakuwepo, no matter what!

    Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili: 1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) 2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters) Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya sura tatu zifuatazo: ✍️Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

    Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali. Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani. Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  8. JamiiForums Tanzania Siyo kazi ya chama cha siasa kuitisha maandamano

    Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA Itisheni Maandamano haraka Iwezekanavyo, Acheni kukimbilia MAHAKAMA, Katambi kaingia 18 za US/ EU , tusonge na Maandamano !!

    Katambi anataka mkimbilie MAHAKAMA, Ku buy time ya Kupooza Maandamano. Sasa basi, kwakua DUNIANI kote Hali ni chafu ,kumechafuka. Zuio la Katambi Leo ni kutusogeza mbele, katipa Back Up ya maana !!. Heche wewe ni Lissu mdogo, shikilia hapo hapo. Sasa Dunia inajua Wamekua watu Oktoba 29...
  11. JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tutatangaza tarehe yetu wenyewe ya maandamano, sio Sabasaba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa kupangwa na wananchi mitaani ifikapo Julai 7 (Saba Saba), akisisitiza kuwa chama chake hakijapanga ratiba...
  12. JamiiForums Tanzania Chalamila: Atakayehamasisha vurugu hatabaki salama. Vyombo vya dola vimejipanga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maandamano ruksa au fiksi za AI?

    Wajameni hii ni AI ya RC wa Dar Chalamila, inayosambaa mitandsoni? Au?
  14. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Julai 7 hayajaruhusiwa, msidanganywe na video za zamani

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7. Miongoni mwa Video hizo ni za matukio ya zamani ikiwemo ya maandamano ambayo yaliruhusiwa kisheria na kupewa ulinzi na...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Upinzani washiriki Maandamano Nairobi

    Wanaharakati na Vongozi wa upinzani nchini Kenya washiriki kumbukumbu ya Maandamano ya Gen Z Jijini Nairobi. Miongoni mwao ni kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, kiongozi wa DAP-K Eugene Wamalwa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pamoja na wanaharakati...
  16. JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano sio Njia sahihi ya kupingana na huu utawala dhalimu

    Maandamano sio njia sahihi ya kuleta mabadiliko kwa sababu utasababisha umwagaji damu jambo ambalo ni mtaji kwa hao watu. Mfano maandamano yaliyopita hajakuleta mabadiliko bali wadhalimu wanaendelea na udhalimu wao kama mnavyoona. Umwagaji damu kwa hao watawala dhalimu ni mtaji yani ni utoaji...
  18. JamiiForums Tanzania Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa. Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen Warns Against Violence Ahead of June 25 Protests

    Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has warned that the government will take firm action against individuals who use the planned June 25 demonstrations to engage in violence, looting, or destruction of property. Speaking ahead of the protests, Murkomen reaffirmed that Kenyans have a...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona kuna baadhi ya viongozi wanataka kulifanya suala la maandamano ni la Wakristo dhidi ya serikali na dini yao

    Kuna Kila jitihada zina fanyika kuyafanya maandamano yaliyotangazwa na wanaharakati yaonekani ni ya wakristo kuipinga serikali inayoongozwa na muislamu. Mimi siungi mkono maandamano hayo, kwasababu maandamano lazima yafuate taratibu na ajenda inayoeleweka hasa katika kipindi hiki Taifa likiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…