maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serekali yetu ni lazima itafute,ishughulikie vyanzo vyote vinavyoanzisha maandamano

    Hakika hakika, Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this kisa,matarumbeta ya akina maria na mange,.. Kuomba mawazo kwa Rais Kagame sio jambo baya he know well on how...
  2. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa maandamano 7/7

    Tunaanzia wapi wazee
  3. JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
  4. JamiiForums Tanzania Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaharakati ni kwamba, uchaguzi huru haiwezekani, maandamano mnauwawa - basi tafuteni njia mbadala ya kubadilisha uongozi nchini

    Mie nawashauri kwamba kesho msiandamane. Hakuna haja ya kukabili askari wauaji ambao wanaamriwa na watu wasio na akili timamu wa-shoot waandamanji hadi kuua. Mkiuwawa haimtaisaidia hii nchi na familia zenu zitabaki na shida sana. Sasa, baada ya kuona uchaguzi wa kidemokrasia haiwezekani hapa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

    Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi? Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Maandamano ya Amani kwa Wasafirishaji wote Nchini, Sambaza ujumbe huu Kila Jukwaa na kila mtandao

    Ndugu Madereva wa Bodaboda, Bajaji, Daladala, Mabasi ya Mikoani, Wamiliki wa Magari, na Vijana wote wa Tanzania, Salamu za amani na mshikamano. 1. UTANGULIZI Hii ni taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji UWADAR na vyama vyote vya wasafirishaji nchini kuhusu maandamano ya amani yatakayofanyika...
  8. N

    JamiiForums Tanzania UZUSHI Taarifa ya maandamano ya 7/7 kwa wananchuo

    Je taarifa hii ni ya kweli
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Kila maadhimisho ya kitaifa huja tishio la Maandamano?

    Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyeshinda kwa 98% na kuchaguliwa na watu mil 33 yeye na selikali yake hapaswi kuwa na hofu juu ya maandamano

    Kwa tafsiri ya haraka ni kuwa anakubalika na anapendwa na raia wengi wa nchi yake. Asingekuwa na hofu kabisa na maandamano sabababu ambao wangeandamana ni wachache sana kuliko wale mil 33 wanaompenda na wasingeleta impact yoyote. Sasa kwa nini hofu kubwa namna? Ukipita miji mikubwa kama Dar...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

    Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7. Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania The Wolves Before the March: How a Cleric's Private Army and a Politicised Military Are Testing Tanzania's Democratic Soul

    Dar es Salaam - 5 July 2026 In the crowded stalls of Kariakoo and the quiet compounds of Mwanza, Tanzanians are counting down to July 7 in whispers. Saba Saba (the date that once commemorated the founding of the nationalist movement that gave birth to this country) has, this year, become a...
  14. JamiiForums Tanzania Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

    jamiiforum inaiwakilisha jamii katika uhalisia wake kwenye jambo lolote lile .. Utafiti wowote unaofanyika hapa matokeo yake ndio uhalisia uliopo kwenye jamii Sasa kuelekea maandamano ya 77 keshokutwa kura itakayopigwa hapa.. Matokeo yake ndio yatatoa uhalisia wa kitakachojiri siku hiyo
  15. JamiiForums Tanzania Unapoona JWTZ wanatoa angalizo ujue wazi kuwa waandaaji wa maandamano ni Mataifa ya nje!

    Akili ndogo ya tafakari kama mwanazuoni wa siasa za kikanda au kiuchumi na kiulinzi na kiusalama inakupeleka kwenye hitimisho moja muhimu sana. Tanzania imekuwa "under attack" kwa muda mrefu sana ...rejea kwa nini tulimpoteza JMP baada ya kuanza kupambana na wafaidika wa makinikia???? Toka enzi...
  16. JamiiForums Tanzania Katambi: Maandamano ni haki lakini sharti Polisi wapewe taarifa

    "Kuzingatia maelezo ambayo ni msingi wa kikatiba na sheria, msimamo wa kisheria nchini ni kwamba haki ya kufanya mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba lakini utekelezaji wake unaweza kuwekwa chini ya masharti ya sheria inayolenga kulinda usalama, utulivu wa umma na haki za wengine. Kifungu cha...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano yaruhusiwe na yapewe ulinzi, yasije anzia kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba

    Hamjambo! Najua wahusika mpo humu na mnanisoma mara kwa Mara. Vitisho sio njia pekee ya kutuliza mambo. Njia nyingine ni kutoa mlango wa uani wa Faraja na matumaini. Faraja kwa maana yakuwa watu kwa mujibu wa Katiba na sheria wanayohaki ya kuandamana na kutoa maoni Yao, kutoa madai Yao, kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanaweza kufanikisha Maandamano ya 7/7. Kimsingi hayazuiliki kama yataanzia ndani ya viwanja vya Sabasaba

    Kabla ya kuendelea nianze kwa kusema, huu ni uchambuzi tu. Nitaanza kwa neno hili "herd behavior" hii ni tabia maalum ambayo kila binadamu anayo, kwa lugha ya kizungu hutafsiriwa hivi What herd behavior means: It's the tendency of individuals to copy what the crowd is doing rather than...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huruma yachemka tena: Mtu Mmoja apigwa risasi na kuuawa wakati Maandamano ya kumtaka Zizo na Maxwell wapatikane yageuka machafuko

    Huruma, Mathare imegeuka uwanja wa maandamano kwa siku ya tatu baada ya wakazi kuandamana wakitaka vijana wawili waliopotea, Abdulaziz Duba Molu almaarufu Zizo na Maxwell Kiarie, wapatikane. Maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko baada ya polisi kukabiliana na waandamanaji kwa kutumia teargas...
  20. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Jeshi la Polisi watuliza maandamano

    Nawapa neno moja kwa leo, Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa. Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha wazibebe wakatulize maandamano???? Bila shaka huyo akilenga mguu risasi itaenda tumboni mwa mwananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…