maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    Maandamano ya tarehe 20/3 tulishuhudia maduka yakivunjwa na waandamanaji na kupora mali za watu, tumeshuhudia magari yakichomwa moto, matairi yakichomwa barabarani vurugu tupu. Juzi trh 27/3, Tena tumeshuhudia makanisa na misikiti ikichomwa moto na waandamanaji, lakini pia shamba la Rais...
  2. Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  3. Raila aitisha maandamano ya amani siku ya Jumatano kulalamika kuhusu hali ngumu ya maisha

    Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano. Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha Jumatano.(Ultimatum hiyo bado sijajua inahusu nini).
  4. Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei. Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote. Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
  5. Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  6. K

    CHADEMA kuweni makini mkianza maandamano ya amani

    Mtakapoanza maandamano ya amani nendeni na simu zenu zenye video kamera ili kuwa na ushahidi wa watakaoanzisha uvunjaji wa amani na kuwatambua hata kwa sura. Ni wazi magaidi ambao siyo wa CHADEMA watataka walianzishe ili lawana ziende CHADEMA. Nawasilisha.
  7. S

    Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…