maandamano oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Waziri Kombo: Viongozi wa Afrika wamempongeza Rais Samia kwa ushindi mnono wa Oktoba 29, 2025

    Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema "Viongozi wa Afrika wamempa moyo Rais Samia kwa yaliyotokea oktoba 29, na wamempongeza kwa ushindi Mnono alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29" Aidha, amesema Vurugu za Oktoba 29 wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania zimejadiliwa kwenye...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe: Kwenye vurugu hapakosi bahati mbaya, vijana wetu walikosea Oktoba 29, lakini Mama yuko imara hadi 2030

    Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Njombe, Beatrece Malekela, Januari 24, 2026 wakati wa kikao cha Baraza la UWT Wilaya, amesema; "Wako wapendwa wetu wengi walipoteza Maisha kwenye vurugu zile zilizojitokeza Oktoba 29, Lakini Kwenye Vurugu hapokosi bahati mbaya, Vijana wetu walikosea lakini kama...
  5. Mshana Jr

    Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
  6. Cute Wife

    PostGE2025 Chande umeonya wanaokwamisha utoaji wa ushahidi; umesahau Polisi walituambia tufute picha na video zote kwenye simu zetu?

    Wakuu, Jaji Chande na Tume yake wanapata wapi hii nguvu ya kuonya wakati polisi walituambia tufute video na picha zote tulizokuwanazo kwenye simu? Tulikuwa tunashushwa kwenye magari wanafanya ukaguzi kwenye simu za watu na kufuta video/picha walizokutana nazo, sasa hili onyo linatoka wapi...
  7. Waufukweni

    PostGE2025 Jaji Warioba: Vyombo vya Usalama vilijiandaa kwa bunduki na risasi? Kwasababu ndiyo wametumia zaidi!

    Akizungumza kuhusu suala hilo, Warioba amesema tathmini ya matumizi ya nguvu inapaswa kuangaliwa kwa uhalisia, hususan kwa kuzingatia idadi ya vifo vilivyotokea. Ameeleza kuwa maandamano yamesababisha vifo vingi, jambo linalozua maswali kuhusu aina ya maandalizi yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi...
  8. J

    Kulikoni CCM na Serikali kutokutoa mkono wa pole kwa Polisi na wananchi waliofariki katika vurugu za Oktoba 29?

    Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao. Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu...
  9. DuaZaMama

    PostGE2025 Amnesty International: Nguvu kupita kiasi ilitumika Oktoba 29

    Shirika la kimataifa linaloshughulikia haki za binadamu la Amnesty International, limetoa ripoti yake inayothibitisha kwamba, vyombo vya usalama vya Tanzania vilitumia nguvu zisizohitajika au kupita kiasi katika kudhibiti maandamano ya uchaguzi kati ya tarehe 29 Oktoba na 3 Novemba 2025. ‎...
  10. Mafyangula

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Hatutarajii kuona vijana waliosamehewa kurudia vurugu

    Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena! ============ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo imeharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Akizungumza na...
  11. President of China

    PostGE2025 Nakuuliza Kitima, Oktoba 29 kulikuwa na maandamano au vandalism? Namna ya kukabiliana na vandalism ni ipi kwa mujibu wa imani yako?

    Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi. Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism? Je, kwanini...
  12. Mafyangula

    PostGE2025 Aunty Lulu: Najutia kuhamasisha maandamano, sikujuwa kama zingetokea fujo na kusababisha vifo vya ndugu zetu

    Moja ya kitu ninacho kijutia katika maisha yangu ni kupost na kuhamasisha maandamano kwa mimi nilivyojuaga watu wanashika mabango barabarani na sikujuwa kama ilivyotokea, ndio maana niliitisha press kuwashauri wezangu tusifanye maandamano siku ya tarehe 29 tutafute siku nyingine, licha wengine...
  13. Waufukweni

    PostGE2025 Picha: Mama ahudhuria mahafali kwa niaba ya mwanaye aliyeuawa Oktoba 29

    Mama mmoja amehudhuria mahafali ya chuo kikuu kwa niaba ya mwanawe aliyefariki baada ya kuuawa na jeshi la polisi siku ya tarehe 29 Oktoba, wakati wa mauaji ya vijana waliodai mabadiliko nchini. Kijana huyo aliuawa akiwa anarudi nyumbani, siku chache kabla ya kuhitimu masomo yake. Katika...
  14. Waufukweni

    PostGE2025 Dereva Bajaji: Watu wengi wamefia mahabusu, Watu waliovunjwa miguu, viuno na viungo vingine vya mwili kwa risasi

    Dereva wa bajaji anaeleza kuwa baada ya kumpeleka abiria wake aliyepigwa risasi na kuvunjika niguu yote, alikamatwa, akapigwa sana kisha kuingizwa mahabusu. Ndani ya mahabusu, alikuta watu waliojeruhiwa vibaya—waliovunjika miguu, viuno na viungo vingine kwa risasi—wengine wakifariki wakiwa humo...
  15. M

    PostGE2025 Vituo vya Mafuta kuchomwa; Tuamini takwimu za Serikali dhalimu (vituo 672), au Wamiliki wa Vituo (41)?

    Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672. Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa...
  16. Busu la Kenge

    PostGE2025 VIDEO: Huyu mrembo naye alihusika kuua ndugu zetu Oktoba 29

    Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. adriz de mbusii
  17. R

    PostGE2025 Mwigulu atoa idadi ya Vitu na miundombinu iliyoharibiwa katika vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ametaja tathmini ya awali ya miundombinu ya serikali na vitu vya wananchi binafsi vilivyoharibiwa wakati wa vurugu za Oktoba 29, Ameonyesha kusikitishwa na...
  18. Waufukweni

    PostGE2025 Wakili wa haki za binadamu: Watuhumiwa maandamano Dar hakuna raia wa kigeni

    Wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Maduhu William amesema kuwa hadi sasa hakuna ushahidi unaoonesha kuwapo kwa mtuhumiwa yeyote ambaye si raia wa Tanzania miongoni mwa mamia ya vijana waliokamatwa kutokana na maandamano na vurugu...
  19. Cute Wife

    PostGE2025 Larry: CNN ilituma maswali kwa Msigwa, Wizara ya Afya na Polisi lakini hatukupata majibu

    Larry, kupitia mitandao ya kijamii amekuja kujibu madai ya Msigwa kuwa CNN hawakuishirikisha serikali ya Tyanzania katika ripoti waliyoiandaa ikielezea matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi. Amesema wameongeza maneno kwenye ripoti yao kuthibitisha kuwa CNN iliwatafuta serikali ya Tanzania...
  20. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Mwigulu anasema Wale Wauaji wengine walikua hawajui Kiswahili, Tume yao ije iseme Wauaji walijipenyeza from Kenya

    Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea. Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa. Jiandae tena Dec 9 .
Back
Top Bottom