maandamano chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania THRDC: Kukamatwa kwa viongozi, wafuasi wa Chadema kuna lenga kuwazuia kufanya shughuli ya maadhimisho ya vijana duniani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Myika,Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Wakili Deogratias Mahinyila...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mara ya Kwanza Waliachwa Wakaandamana, Wakiachwa tena na Sasa na Wakapewa Ulinzi Kuna shida Gani?

    Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili. Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni kuwapa attention kubwa bila sababu za msingi. Mwisho Gen Z hailetwi na Wanasiasa Bali huzuiwa...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi yale Maandamano ya CHADEMA yaliishia wapi?

    Aisee mambo ya Gen Z wa Kenya yamenikumbusha mbali. Mwanzo wa mwaka tuliona kina CHADEMA eti wanaandamana kila Jiji baadae maandamano yakayeyuka ghafla🤪🤪🤪🤪 Nini kilitokea maana walikuwa wanapewa ulinzi kabisa wakidai maisha magumu. Je, saizi maisha ni rahisi? Swali: Maandamano ya CHADEMA...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Maandamano CHADEMA: Moshi kwafukuta, CHADEMA yazizima, kweli watu wamechoshwa na CCM na serikali yake

    CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana Moshi mmeonesha njia!
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mapema asubuhi wananchi walipoanza kukusanyika. Usiondoke JF kwa vile kuna mengi...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

    Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
  7. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA yamekosa umuhimu, mvuto na ushawishi

    Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa wananchi kwa kufanyika miji tofauti. Hivi, wanaona wananchi ni wajinga hawawezi kupata huo ujumbe...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

    Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam, ameibuka Katibu wa itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi na kutoa kauli potofu dhidi ya Maazimio ya...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bado sijaona Watu wa kuandamana nchi hii hata wangechukuliwa wake zao

    Kwema Wakuu! Sina uzoefu mkubwa wa mambo ya siasa za nchi hii. Lakini kwa akili zangu hizi ndogo nadiriki kusema kuwa kile alichotangaza Mhe. Mbowe kwamba wataandaa maandamano ya Amani januari 24 hayatafanyika. Hayo mambo ya kusema sijui Bakabaka watafanya Usafi wala isije ikawa kisingizio...
Back
Top Bottom