maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usimsingizie Shetani, maana mbinu zake zote unazijua.

    Neno la Mungu linasema kuwa tusishindwe na shetani kwa kuwa mbinu zake shetani, tunazijua. Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake. 2 Kor 2:11 SUV Ni kweli kuwa kila mara mtu anapotaka kufanya dhambi, hujua kabisa kuwa hii niifanyayo ni dhambi na huridhia...
  2. JamiiForums Tanzania Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

    Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
  3. JamiiForums Tanzania "Sipendi kupangiwa Maisha" Ndio maana sifikiri kuhusu ndoa

    Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa). Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu. Nimeweza tofautiana na watu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Huenda Vice President Dkt. Phillip Mpango alikuwa kwenye shambulizi la hatari, akafichwa mahali. Hii ndio maana ya "Alikuwa kwenye kazi maalumu"

    Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini. Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  6. JamiiForums Tanzania Israel walipua chuo kikuu cha Al-Azhar University kule Gaza maana kilitumiwa na magaidi

    Hamna kinaacho achwa, Gaza itakua shamba.... The IDF says troops of the Combat Engineering Corps’ 749th Reserve Battalion destroyed buildings containing Hamas infrastructure at Gaza City’s Al-Azhar University. According to the IDF, on the university campus, troops found a tunnel entrance that...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

    Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  9. JamiiForums Tanzania Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  10. JamiiForums Tanzania Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

    Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi. Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema. Lakini rais alimfutia kesi zake zoke. Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇 === Alichoandika Godbless Lema...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

    Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi...
  12. JamiiForums Tanzania Ifahamu maana halisi ya "Mmbea"

    Mmbea ni mtu anayechukua habari za jambo au mtu fulani na kuziongezea chumvi huku akizisambaza kwa watu wengine. Mmbea huna haja ya kumweleza jambo kwa upana wewe mweleze kwa ufupi kwasababu ni mmbea anaujuzi mkubwa sana wa kukamilisha taarifa kutokana na taaluma yake ya maswala ya umbea.
  13. JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
  14. JamiiForums Tanzania Maana ya Single mother

    Salaam wakuu.... Katika pita pita zangu kwenye machapisho mbali mbali kwa mara ya kwanza ndio nimejua maana ya single maza kwamba Single =ina simama kwamba mwanamke huyu yuko single na hayuko kwenye mahusiano na Mother=inasimama kama mwanamke huyu anamtoto. Kwahiyo singo maza kitafsiri ni...
  15. JamiiForums Tanzania Nini maana ya hii sentensi?

    "In humans (homo sapiens): The storytellers control the world, Of course, each of us free to tell stories."
  16. JamiiForums Tanzania P Funk na Seven Mosha wamefanya kamati ya tuzo za TMA kuwa batili. Waondolewe au tuzo zitakosa maana

    Seven Mosha na P Funk wanaondoa uhalali wa kamati ya kusimamia tuzo za TMA Tanzania Music Awards. Sababu kubwa wana maslahi binafsi na kitu kinachoenda kukisimamia au tuseme conflict of interest. P Funk ni msanii, anasimamia wasanii wanaoenda kushindana pia ana upande wa muziki anaupiga vita...
  17. JamiiForums Tanzania Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
  18. JamiiForums Tanzania Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

    Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na kwamba Iran haitoingilia....hii ni habari mbaya sana kwa majihad ya humu JF maana wamekua wanasubiri...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tukio hili maana yake nini?

    Habarini wanajf, Naomba kudiscuss jambo hili nanyi. Kama ulifanyiwa ubaya na mtu ukakuumiza sana moyo, sasa bila kujua ukawa unamlaumu yule mtu kwa kumtamkia maneno mabaya uku unalia. Baada ya muda yule mtu anakuja kutokewa na tukio kama jinsi ambavyo ulilitamka. Yaani vilevile jinsi...
  20. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…