maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  4. JamiiForums Tanzania Nini maana ya nyota? (ni sawa na bahati?)

    Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata, Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine wakisema ni mfano wa bahati,. Sio hilo tu nimesikia pia kama hufanikwi kasafishe vyota. Au Kuna watu...
  5. JamiiForums Tanzania Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  6. JamiiForums Tanzania Hii Vita ya Israeli na Irani inayoanza Ina maana Gani Kiimani?

    ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake. Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani...
  7. JamiiForums Tanzania Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, nini hasa maana ya neno SIASA?

    Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano: Chama cha siasa. Mwana siasa... Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la heshima, na wakati mwingine ni neno la kuvunja heshima. Ukiongea uongo, unaitwa mwanasiasa. Ukitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

    Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani. HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka. Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili...
  10. JamiiForums Tanzania Wizi Ndani ya Kanisa la WASABATO: Kiko Wapi Sasa? Maana Mnajiona Kama Ndugu wa Musa, Eliah na Yesu

    Kwa kusali Jumamosi tofauti na Madhehebu mengine na wanawake wao kutovaa hereni na kutengeneza nywele wanajifanya ni watakatifu sana. Kumbe hawana lolote. Ona wizi wa mamilioni hapa
  11. JamiiForums Tanzania Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha. Sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Hiki 'Kijembe' cha maana Ali Kiba kamtupia nani hapa Tanzania?

    "Nasikia P Diddy ana Mafuta mengi na Kitanda Kikubwa" Mnaojua masuala ya Vijembe tafadhalini tusaidieni pia Sisi tusiojua ili tuweze Kuelewa ni nani amelengwa hasa hapa.
  13. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa historia na maana ya vituo vya magari, daladala, na baadhi ya majina ya watu kwanini yalitumika kama kielelezo cha sehemu husika.

    Salaam wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. 1. Majohe "KWA NGOZOMA" Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi. 2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie ) 3. Kwa mpalange...
  14. JamiiForums Tanzania Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  16. JamiiForums Tanzania Nini Maana Ya 123KwH/year Kwenye Kifaa Cha Umeme(jokofu)

    Wakuu habarini. Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption. Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.? Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri. Maswali yangu ni Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  18. JamiiForums Tanzania 4Rs Ina maana gani ikiwa unazuia maandamano?

    Tunakubali Lengo la Samia ni kutaka kuponya uchumi,jamii,mashirika na siasa ya Tanzania lakini mambo yamekwenda mrama pale anapoonekana hayupo tayari kuiruhusu demokrasia anayohubiri dhidi ya chuki ya awamu iliyopita Bado anayaendeleza ya mtangulizi wake,kaonesha gap kubwa la kiutawala kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu katuita Watanzania Wakosoaji (Critics) kuwa ni 'Makhulukutabu', je, ina maana gani?

    Arovera, mrangi, Bila bila, King Kong III, SAGAI GALGANO kuna Mtu kawaiteni huko 'Makhulukutabu' mmekubali Wakuu?
  20. JamiiForums Tanzania Eti, nini maana ya msemo, Mgaa gaa na Upwa hali wali mkavu?

    Salaam; Wana jukwaa Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ? Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…