maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maana ya Maneno Rhema na Logos na Tofauti yake

    Logos: Katika falsafa na theolojia: "Logos" ni neno la Kigiriki ambalo lina maana nyingi, lakini kwa kawaida linamaanisha "neno," "akili," au "mantiki." Katika Biblia: Inatumika kuelezea Yesu Kristo kama "Neno la Mungu" ambaye alikuwapo kabla ya ulimwengu wote. Yohana 1:1 Rema: Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana

    Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka

    Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha? Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Fikira fikirishi: Maneno haya ya Tundu Lissu yana maana gani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na wananchi. Lissu ameyasema hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akiongea na wananchi wa Tarime akiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaelewa maana ya genocide kweli? Idadi ya wapalestina imekuwa kwa asilimia 2.02% tangu Oktoba 7th mwaka jana

    Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu. Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana mume wa zamani wa Diva anampiga vyombo ndio maana mambo yanamuandama?

    Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala SegereMatata? Ukiangalia insta page yake, na hata watumishi wenzake, ni kama jamii inampigia yowe...
  7. JamiiForums Tanzania Nasema hivi, kama upo nafasi unapata maslahi ya kukutosheleza wewe, familia na akiba yako, basi ishikilie, maana kwa hali hii wewe ni special

    Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata hata ghafla utageuka chizi. Mfundishe mkeo asiwadharau wake za wengine kisa wamesuka njia moja ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ina maana hili Taifa halina wazee kweli?

    Mungu amekasirika Mungu hajafurahishwa na hili jambo mmelifanya. Tumepatwa na majanga watu wamekufa leo waziri anatangaza Rais ametoa 700m kwa ajili ya ushindi wa Taifa star ndugu zangu hili litajibiwa kwa majibu magumu toka kwa Mungu. Je, taifa halina wazee nakuwaambia huu sio muda wa kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Golikipa Aishi Manula ukipewa au ukielekezewa Mic Kuzungumza jifunze Kuzungumza kwa ufupi na vya maana tupu sawa?

    Sijui kwanini ukielekezewa tu Mic na Waandishi wa Habari jambo la kusema Sekunde 45 utalisemea dakika 17 Unaboa.
  10. JamiiForums Tanzania Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  11. JamiiForums Tanzania Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  12. JamiiForums Tanzania Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

    Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo. angalia na linganisha floor hizo mbili https://x.com/i/status/1857878582976229744
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  16. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana

    Naomba nishauri ya kwamba vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana na sio kwenye mambo ya kijinga. Kwa muda mrefu vyombo vya Dola vimewekeza akili na vifaa kwenye kupambana na vyama pinzani. Kuteka, kuua na kunyanyasa wapinzani. Ila akili ya kupambana na maafa ni zero. Tuliona kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  18. JamiiForums Tanzania "Yani mimi, mtu bila gari, bila kazi ya maana halafu asiwe mrefu mweusi hawezi kunipeleka kwake tukaishi nae. I am not cheap!"

  19. JamiiForums Tanzania Watanzania inabidi tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza halafu vyama baadae

    Wakuu Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa. Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
  20. JamiiForums Tanzania Respect kwa "mabigi" wote nchini. Mwili nyumba ina maana kiuhalisia

    MMESHAELEWA, NIANDIKE KIPI ZAIDI??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…