maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama January Makamba amekatwa na Freid Lowassa maana yake 2030 Ridhiwani Kikwete ndo anaweza kuwa Rais

    Kitendo cha kumkata Freid Lowassa ndo njia Rais ya kumuingiza RK jengo jeupe . Kiufupi 2030 Rais ni RK.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Daktari hapa maana yake nini?

    Tarehe 11 mwezi wa 7 wife alianza period, na siku ya tatu akaanza clomid 50mg kwa siku 5 akinywa orally, sasa tukapin point siku za ovulation tukajamiiana kwa lengo la kupata mimba, sasa akategemea kama period ingeweza kuanza tarehe 10 mwezi wa 8, lakini hakuanza period mpaka leo tarehe 22 , pia...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji design ya dream house yako fuatilia hii mada

    ave thread maana tutapost design nyingi kali hapa from our design gallery, tunapost daily +255624004650
  4. JamiiForums Tanzania Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita. Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji Kwanini??. Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo Hana athari ndo maana wajanja wanampotezea tu. Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD/CIA inatosha kabisa!

    Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume. Haka kakitu hakina athari...
  6. JamiiForums Tanzania PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

    Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi?? Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe...
  7. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

    Kwenye ID kongwe tunachat vizuri kama marafiki wapatanao, kwenye ID mficho comments zangu unazikandia🤔 Au hii nimeigundua pekeyangu wakuu? Hii ni mbaya sana.Yaan ni usnitch wa hali ya juu,mmekuwa professional na usnitch eti? Mbona wengine hatuna nongwa hata ukinijibu vibaya au hunipendi,najua...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi nini maana baadhi ya maghorofa kuandikwa "plaza"

    Nasemea kwa mfano china plaza.. Ubungo plaza Mengine naona mpaka jina la mtu alafu mwisho neno "plaza " Hivi hili neno plaza hua lina maana gani naomba kujuzwa
  9. JamiiForums Tanzania Yesu Hadi ana sulubiwa msalabani hakuwahi kujenga. Je Ina maana alikuwa anaishi wapi kabla hajaanza kazi ya ukombozi?

    Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake Luka 9:58 “Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  12. JamiiForums Tanzania Tarehe yako ya kuzaliwa na maana yake

    TAREHE YAKO YA KUZALIWA NA MAANA YAKE. Hizi ni tabia za kilamtu kulingana na tarehe aliyo zaliwa kuanzia tarehe moja hadi 30. Terehe 31 tunaihesabu sawa na tarehe moja. 01. Mtu alie zaliwa tarehe 1 atakua ni mtu wa bahati sana na maisha yake ni marefu. 02. Mtu alie zaliwa tarehe 2...
  13. JamiiForums Tanzania Tafadhali sana, kama hujui maana ya siasa usiandike mada za kisiasa!

    Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
  14. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutana na koboko(black mamba), uliescape vipi maana huyu sio wa mchezo

    kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
  15. JamiiForums Tanzania Kuota unadumbukia kwenye shimo lisilo na mwisho maana ake n nini ??

    Naombeni kujuA hv kuota unadondokea kwenye shimo refu maana ake ni nin ??
  16. JamiiForums Tanzania Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  17. JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  18. JamiiForums Tanzania Mifano inayoweza kuleta maana pale unapo linganisha dunia na ulimwengu

    Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu. Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama utaenda kupima kwenye mzani wenye sensors za kisasa bado hauwezi kugungua tofauti yoyote kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

    Habari, Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
  20. JamiiForums Tanzania Siwezi walaumu kopola na mkewe, maana tofaut na watu weng, wana uthubutu wa kupambania fursa, fursa iliopo mbele yao ya watu wa imani za kufikirika

    Kama mkewe angekuwa katika kongmano huko amsterdam, basi angewaambia wazungu kuwa mume wake alimuomba Mungu ili afike salama mahali pa kuchukulia gesi maana muda ulikuwa ni giza kali usiku na alifika salama. Ila kwa sababu amekaa na wenzake ambao amezoea kula pesa zao kwa mazigaombwe basi acha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…