Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya kustaafu akajenga kanyumba🤔
Sasa mtu unajiuliza eeh ni sh ngapi hizo unaambiwa ni million 70 mpaka 80 hizo ndo Vihela, au...