Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanane imeendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 16.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...