Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.
Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano...