maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Taliban waanza mazungumzo na Maafisa wa Magharibi nchini Norway

    Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan. Mazungumzo hayo, yaliyopangwa kufanyika kwa muda wa siku tatu, yatakijita katika suala la haki za binadamu pamoja na...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa serikali wanapowajibishwa, na misingi ya kidemokrasia inapoheshimiwa kuna uwezekano mkubwa wa huduma za umma kuboreshwa

    Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja zao...
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

    Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini. Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
  5. Latebloomer

    JamiiForums Tanzania Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
  6. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UN: Nimeshtushwa na hatua ya Ethiopia kuwatimua maafisa wetu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na msemaji wake mjini New York, Guterres amesema, "nimeshtushwa na habari kwamba serikali ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  8. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

    Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Maafisa wa ngazi ya juu wa Jeshi wakamatwa kufuatia jaribio la kumuua Rais Rajoelina

    Maafisa wa ngazi za juu wa Jeshi na Polisi wamekamatwa Nchini humo wakihusishwa na jaribio la kumuua Rais Andry Rajoelina ambalo lilishindikana. Hadi sasa watu 21 wanachunguzwa Jaribio dhidi ya Rais Rajoelina ni miongoni mwa matukio yanayoendelea kutikisa Taifa hilo. Madagascar imekuwa Lockdown...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa waliochanjwa

    Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa kote mjini Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa wale waliochanjwa dhidi ya virusi vya corona. Zaidi ya polisi 3,000 na maafisa wa usalama wameuzunguka mji mkuu wa Ufaransa Paris Jumamosi wakati maelfu ya...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
  12. balimar

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia, kwenye teuzi za DED's na DAS's ifae sana watoke kwa Maafisa Elimu Kata (AEK's) wenye sifa wapo wengi

    Salaam! HALMASHAURI ndio Ofisi pekee zinazotekeleza Sera na Utendaji wa siku kwa siku wa serikali hasa zile za Mitaa. Kiukweli Maafisa Elimu Kata ndio wanayo mawanda mapana sana kwenye kusimamia shughuli za serikali anzia taaluma kwenye kata zao, miradi ya ujenzi wa majengo ya serikali na...
  13. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Maafisa Utumishi wagoma kuruhusu Mabenki kutoa mikopo ya watumishi. Yawezekana ni hujuma?

    Wiki jana nimeingia benki moja Mikoa Fulani nikakuta watumishi wamejikusanya kwa majonzi. Baadhi yao niliwafahamu Na nilipowadodosa wakadai mikopo yao kukwamishwa na maafisa utumishi. Walidai kupewa majibu hayo na maafisa wa benki. Kuwa maafisa utumishi wamegoma kuingiza makato kwenye mfumo...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ruhusuni wahitimu wa kada ya elimu kuajiriwa sekta nyingine mfano uafisa mtendaji wa kijiji, maafisa maendeleo etc.

    Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa...
  16. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Serikali inunue Magari ya idara zote za Halmashauri ili kuleta tija na Ufanisi Nchini

    Muundo wa Halmashauri zetu zina idara 12 na vitengo 6. Hivyo kufanya jumla ya wakuu wa idara na vitengo kuwa 18 . Kabla ya kuondoka watalaam wa Maji kwenda RUWASA Halmashauri ilikuwa na wakuu wa idara na vitengo 19. Idara zilizopo katika Halmashauri ni idara ya Elimu Msingi, Idara ya elimu...
  17. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ili kuboresha Sekta za Kilimo na Mifugo nchini, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ma-DED watokane na Maafisa Mifugo au Kilimo

    Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo. Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa yale ya biashara mfano kahawa,pamba, mkonge, na mengineyo umeshuka sana kipindi cha karibuni. Hali...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maafisa watano wa polisi wameuawa Mogadishu kwa bomu la kujitoa mhanga

    Mlipuko huo ulisababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga aliyevalia vazi la kujilipua ambaye aliwaendea maafisa hao nje ya kituo cha wilaya ya Waberi majira ya saa tatu na nusu usiku kwa saa za huko, mashahidi walisema. Maafisa watano wa polisi ni miongoni mwa watu wasiopungua sita waliouawa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utumushi, Mchengerwa: Maafisa utumishi wasiopandisha madaraja kutumbuliwa

    Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio. === "Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

    Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
Back
Top Bottom