1995
Benjamin William Mkapa anachukua fomu ya kugombea Urais, gazeti moja kwa kebehi likaandika "Mkapa naye achukua fomu."
Hili neno "Naye" kwa sisi wana fasihi tuliona ni dongo, maana kipindi hicho habari ya mjini ilikuwa Boyz II Men, Lowassa na Jakaya Kikwete, wakiwa vijana kabisa hakuna...