lumumba

  1. MALCOM LUMUMBA

    Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

    Muda huwa ni mwalimu mzuri sana. Nakumbuka mabazazi na madunya wa humu ndani mnamo tarehe 24 February 2022 siku ambayo Urusi alivamia Ukraine walinitafuta na kunisimanga sana. Wengine walidiriki hadi kukashifu taaluma yangu. Walishangaa kwamba kwanini Urusi ameshindwa kuivamia Ukraine na...
  2. A

    KERO Daraja la Kibaha Mji - Mtaa wa Lumumba litengenezwe tunapata shida wakazi wa huku

    Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
  3. Nyankurungu2020

    Kuanzia Patrice Lumumba na Thomas Sankara na Magufuli wa Rubambangwe Chato. Vifo vyao vitawagharimu watu wasio na mapenzi mema na Afrika

    Leo hii Kongo Drc inahangaika sababu ya Tamaa za mtu mmoja aitwae Mobutu Seseweko ambaye kwa kutumiwa na Wabeligiji alimuua Patrice Lumumba kwa tamaa ili awe kibaraka wa Wanyonyaji. Waliomuua Thomas Sankara hata baada ya miaka 40 bado kifo chake kinawaandama. Vivyo hivyo kwa shujaa wa Afrika...
  4. R

    Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  5. ELI COHEN

    Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  6. Fbn

    Ni kweli UN ilikataa kumuunga mkono Lumumba

    Mapinduzi dhidi ya Waziri Mkuu wa kwanza wa Congo huru, Patrice Lumumba, mwaka 1960, yamebaki kuwa moja ya sura za giza katika historia ya Afrika. Ingawa Lumumba alikuwa kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia, Umoja wa Mataifa (UN) uliamua kumtambua Rais Joseph Kasavubu baada ya kumvua madaraka...
  7. M

    Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  8. Keynez

    CCM inamuenzi Patrice Lumumba kwa kuwapoteza Watanzania kama alivyopotezwa yeye

    Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji wakishirikiana na waasi wa ndani. Ili kupoteza ushahidi na ili kumbukumbu yake ipotee kiujumla, mwili wa...
  9. B

    PLO Lumumba AONYA MAPINDUZI Tanzania

    15 November 2025 https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge lisilojielewa, wababaishaji, hawajui wanadai nini, watapoa tu, 912 hawatatokea katika maandamano...
  10. K

    Tuombe mdahalo Prof PLO Lumumba vs Prof Kabudi

    Tuombe mahojiano kati ya Prof Lumumba na Prof Kabudi kuhusu demokrasia na katiba. wote ndiyo wabobeaji wa sheria wa EA ingawa mmoja ni chawa na mtoa macho mkubwa. Hii itasaidi tujue tunaenda wapi kwa hoja. https://youtu.be/QLp9ydc6K3I?si=ipvBzt3KHGEhw2sj
  11. Nyani Ngabu

    Kenya vs Tanzania: PLO Lumumba weighs in!

    https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7 Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa Tanzania kuhusu baadhi ya wanaharakati waliokuja nchini kwa ajili ya kesi haramu inayomkabili Tundu Lisu...
  12. Baflo

    KERO Ubovu wa barabara na kukosa daraja Mto Mpiji kati ya Kibamba kibwegere na Lumumba kwa mazengo

    Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda kufanya shuguli zao za kiuchumi..Ni bara bara yenye asili ya tope tupu la mfinyazi iwapo mvua...
  13. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  14. chiembe

    PreGE2025 Nimepita mitaa ya Lumumba, wamerelax baada ya mahasimu wao kuanza kutukanana wao kwa wao, mpango ni watukanane mpaka 2027

    Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu. Sasa inaangaliwa namna ya kuwafanya watukanane mpaka walau 2027
  15. Bams

    Lisu Kutia Nia, Kwa Nini Kelele Za Kuchanganyikiwa Zinatoka Zaidi CCM?

    Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
  16. Abdulrahmanyusuph03

    Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
  17. milele amina

    Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

    Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024. Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi. Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
  18. Nehemia Kilave

    Kuna mitaa zaidi ya 20 duniani inakwenda kwa jina la Patrice LUMUMBA, Nadhani Distinction iwepo kabla ya kutoa jina

    Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo automatically yanakuwa hivyo . Duniani kote kuna mitaa na maeneo zaidi ya 20 inayokwenda kwa jina LUMUMBA...
  19. GENTAMYCINE

    Dogo Dulla acha Kulazimisha Baba Mkwe wa Hiari amrithi Msomali pale Lumumba Dar es Salaam na Kizota Dodoma sawa? Atamharibia Mazeri

    Baba Mkwe wa hiari huyo alipokuwa Umoja wa Waliotuzaa Chamani aliharibu na kaacha Kashfa nyingi tu. Hafai huyo.
  20. julaibibi

    KERO Mtendaji Kata ya Lumumba maji taka yamekuwa kero

    Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekuwa kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo. Tuwasaidie hawa watoto na wapita njia, imekuwa risk unalazimika kutembea kwenye lam unapigana mabusu na magari saa nyinginezo...
Back
Top Bottom