luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Ukwasi baadhi ya Viongozi Serikalini uchunguzwe

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametoa wito kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtaka Waziri wa Fedha kuidhinisha utoaji wa taarifa zote zinazohusu mikopo, mamlaka za rufani za kodi, misamaha ya kodi pamoja na mamlaka za uchunguzi. Mpina amesisitiza umuhimu wa taasisi kama...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka, Waziri Mwigulu haelezi matumizi ya mikopo, ana-concentrate muda mwingi kutafuta mikopo nje ya nchi

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kasi ya ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka. Amedai mashaka hayo pia yanaletwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kufuatia kutopeleka Bungeni taarifa ya pesa za mikopo zilizopokelewa na namna zilivyotekeleza miradi. Ameongeza: "Deni la Serikali katika...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana CCM walivyoomba kupiga picha na Luhaga Mpina kwenye Mkutano wao Mkuu Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amlipua Mpina uso kwa uso ''nimesikitika sana/mpina haoni chochote/ unamatatizo binafsi"

    MSIKILIZE KWA MAKINI MH. JAFO ALIVYOMSHUKIA MBUNGE LUHAGA MPINA https://youtu.be/6cgETStbjyQ?si=Y9udHaNAYD8ZoIfE Soma pia Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni huzuni!
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Baadhi ya Wawekezaji wa ndani wanalalamika kunyang’anywa kazi na wageni

    Mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Joelson Mpina (MB) akichangia bajeti ya wizara ya viwanda na biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo tarehe 14 mei 2025 bungeni Dodoma UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Wizara ya Viwanda na Biashara ndio kiungo kikuu cha Serikali na Sekta Binafsi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina ataka wenyeviti wa vitongoji warejeshewe Mihuri

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka serikali kuwarejeshea wenyeviti wa vitongoji mihuri yao iliyondolewa kwa madai yasiyo na msingi. Akizungumza leo Aprili 23 bungeni jijini Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kususia uchaguzi, Luhaga Mpina ameanza kurudisha utii kwa CCM

    Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Sasa amerudisha majeshi CCM na kuanza...
  10. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Simiyu anakula njama kumuondoa Luhaga Mpina akishirikiana na Kamati ya Siasa. Mpina awatishia kuhama chama

    Mgogoro wa kiuongozi umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Simiyu, ukihusisha juhudi za Mwenyekiti wa chama hicho mkoa huo za kuwaonda Baadhi ya Wabunge Kinara akiwa ni Mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina Hatua hizo zimezua taharuki si tu ndani ya chama bali pia kwa wananchi wa...
  11. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni akaunti rasmi ya Mtandao wa X ya Mbunge wa Kisesa Joelson Luhaga Mpina

    Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter. Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Luhaga Mpina anusa kufanyiwa figisu, ataka kampeni za wazi Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa kufanya kampeni mchana kweupe badala ya usiku. Mpina amesema kuwa kampeni zinazofanyika kwa kificho...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa wa Njombe: Luhaga Mpina ni Mbunge mzuri sana. Uzuri wa CCM haifungi mawazo ya mtu

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akiwa anaongea hivi karibuni amesema kuwa anamkubali Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kwa kuwa anaweza kutoa mawazo yake bila uoga “Luhaga Mpina ni Mbunge Mzuri sana, anatoa mawazo yake, na uzuri wa Chama cha Mapinduzi haifungi mawazo ya Mtu”
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Askari akiri kupewa ofa ya kumshambulia na kumwangamiza Luhaga Mpina kwa silaha. Asema maisha yake yako hatarini

    Akizungumza na wanahabari hivi, karibuni askari mmoja wa JKT amejitokeza na kusema kuwa alipigiwa simu na mtu asiyemfahamu na kupewa ofa ya kiasi cha pesa anachokitaka ili atekeleze shambulio dhidi ya Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina "Nilipigiwa simu kwa namba 0752352351 na huyo mtu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Sitakaa kimya dhidi ya Ufisadi na Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma maendeleo ya wananchi. Soma Pia: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama Kuu yatupilia mbali shauri la Luhaga Mpina dhidi ya Uagizaji wa Sukari

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 14, Februari 2025 imetupilia mbali shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina juu ya kupinga uaagizwaji wa sukari nje ya nchi. Uamuzi wa shauri hilo umesomwa na Jaji Salma Maghimbi akieleza...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Luhaga Mpina na Tundu Lissu, zimetuonyesha watanzania Umuhimu wa Katiba mpya Ili kuipata Tanzania mpya

    Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini. Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa. Lissu yupo...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA itanufaika zaidi Luhaga Mpina akiwa mgombea wake wa urais wao

    Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake. Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

    Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Back
Top Bottom