luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mnasema Nchimbi alikuwa na utovu wa nidhamu, mbona Umma haujawahi kuambiwa huo utovu wa nidhamu ni upi?

    Aliyewahi kuwa Mbunge, Luhaga Mpina, ameibua hojaji na maswali mazito kuhusu michakato na maelezo yaliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Spika wa Bunge kuhusiana na nafasi ya Makamu wa Rais na kile kinachodaiwa kuwa kuvuliwa uwanachama kwa Dk. Nchimbi. Kukosekana kwa Ushahidi wa Utovu...
  2. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina acha kupotosha watu.Hatima ya hii nchi ipo mikononi ya Watanganyika wanaodhurumiwa sio Kikwete.Watanganyika hawamtaki Kikwete na Samia

    Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani Hii haiwezekani. Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
  3. JamiiForums Tanzania Mpina: Hakuna ushahidi wa kuthibitisha madai ya utovu wa nidhamu dhidi ya Dkt. Nchimbi

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli kutoka Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema kuwa taratibu zilizotumika kumwondoa aliyekuwa Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, zilivunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuipora mamlaka ya nchi na kuikabidhi kwa Katiba ya Chama Cha...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Dola ilimuogopa Mpina kama mgombea mwenye ushawishi Mkubwa

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, akizungumza katika mahojiano mwanahabari Edwin Odemba, kupitia Jambo Tv Agosti 17, 2026, amesema Dola ilimuogoba aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa
  6. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina akata pumzi kisiasa

    Mwamba anaomba poo anatamani hata uteuzi wa ukuu wa Wilaya akapunguze njaa. pumzi imekata
  7. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Serikali ijiondoe kwenye mambo ya kuunda Tume ya Uchunguzi kwani Mtawala aliyopo madarakani anahusika na Vurugu za 2025

    Luhaga Mpina atema Cheche tena DW Radio . Akosoa Samia kuunda tume. Amesema ana masha nayo. Akosoa Tume kuelekezwa cha kufanya. Mfani; Kachunguze nani katoa hela. Kakosoa Hahdidu za Rejea Hadidu za rejea ndio huleta maana. Haziwezi kuwa siri kwani mambo kama haya yanatakiwq yawe wazi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? Kwanini ukihoji Serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi?

    Naibu Waziri Mkuu katika Baraza Kivuli la Mawaziri la Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amehoji kwanini kwenye nchi yetu watu wanyamazishwe? kwanini ukihoji serikali iwe ni makosa ya uhaini na ugaidi? Wakati akiongea na waandishi wa habari August 9 Mpina amesema kuwa, "Sasa huku nchi nzima...
  9. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  10. JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  11. JamiiForums Tanzania Heche, Mpina na wengine wanatumika kuichafua Serikali ionekane haifanyi kazi?

    - Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine - Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi machafu - Yaelezwa amejiegemesha CHADEMA kuichafua serikali baada ya kukosa zabuni ya kuingiza...
  12. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
  14. JamiiForums Tanzania Mpina: ACT Wazalendo tunaenda mahakamani kupinga Sheria ya Fedha 2026

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema chama hicho kimepanga kufungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikidai kuwa vinaongeza mzigo wa kodi kwa wananchi wa kipato cha chini huku vikitoa misamaha kwa wawekezaji wakubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

    Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amelituhumu Bunge na Spika kwa kupitisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 na bajeti ya Tsh. Trilioni 62.33 bila kufanya mabadiliko yoyote, licha ya uwepo wa malalamiko makubwa kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma. Soma: Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina na Wakili Peter Madeleka wanazungumza, wasema muswada wa kodi unalenga kuwaumiza maskini (Juni 30, 2026)

    https://www.youtube.com/live/KcGPeihnF1c
  17. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina amedanganya watanzania kuhusu mgogoro wa mafuta

    NIMEMSIKILIZA mtu anayejiita sijui waziri mkuu kivuli.. (vyeo vya kusadikika) ambaye ACT Wazalendo walitaka awe mgombea wao wa urais lakini sijamuelewa kwenye mambo mengi sana SITAKI kuongelea ujinga wake anaoongea kwenye mambo ya mafuta kwa sababu ni mtu mjinga tu anaweza kupoteza muda...
  18. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kwanini Mabasi ya Mwendokasi yanaondolewa kodi wakati Mabasi ya Masafa marefu hayana msamaha?

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza leo Juni 23, 2026 alipokuwa akichambua Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27. Pia soma ~ Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  20. JamiiForums Tanzania Full Text: Taarifa ya Luhaga Mpina kuhusu Tume ya Chande ya Kuchunguza yaliyotokea 29.10.2025

    BURIANI MASHUJAA WETU YANA MWISHO HAYA Bonyeza HAPA kupakua Hotuba yake Hapa Chini nimeweka Video ni Mapendekezo yake.. MAONI NA MAPENDEKEZO KWA UFUPI Baada ya kufanya uchambuzi hapo juu ninatoa Maoni na mapendekezo kama ifuatavyo:- (i) Kuundwa Tume Huru chini ya Umoja wa M ataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…