lowasa

  1. GE2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

    Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowassa ndio waliipaisha CHADEMA kisiasa Chadema wanajifanya kubisha Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana CHADEMA siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowassa Chadema mitaani kote kulipambwa bendera za Chadema na kila Kona nyimbo za CHADEMA Chadema people's power...
  2. GE2020 Tundu Lissu sio Mzee Lowassa, asipuuzwe!

    TUNDU LISU SIYO MZEE LOWASA, ASIPUUZWE. Na, Robert Heriel. Moja ya sifa ya Mpumbavu ni kuishi kwa Dharau na mazoea. Tabia ya mazoea imeangusha watu wengi mashuhuri. Maisha hayana mazoea, maisha yanabadilika. Hivyo hata siasa haina mazoea, siasa zinabadilika, dakika moja inatosha kabisa...
  3. GE2020 Tofauti kadhaa kati ya Lowassa (2015) na Lissu (2020)

    Bila kupoteza muda 1. Lowassa alikuwa delusional, nikimaanisha alikuwa anaamini atachukua nchi asubuhi na mapema hii ni kwa sababu alikuwa na "marafiki" kila sehemu. Lissu yeye kwa maneno yake anaamini kinyume chake kwamba Uchaguzi utakua mgumu, usio huru na haki hivyo ni lazima wajipange. 2...
  4. GE2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

    WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...
  5. Z

    GE2020 Angalizo: Membe ni hatari kwa upinzani kuliko alivyokuwa Lowassa

    Asiyesikia la mkuu huvunjika guu na asiyeweza kujifunza kutokana na makosa yaliyopita mathalan hawezi kujifunza lolote huko mbeleni. Misemo hii si ya kuipuuzia hasa katika mwenendo wetu wa siasa wa awamu hii. Nimemsikia Zitto akimsafisha Membe na kumtofautisha na Lowassa na kuwahakikishia...
  6. Q

    Wagombea Urais Upinzani, sioni tofauti ya Membe na Lowassa

    Viongozi wengi wa Urais hasa wa Ki Afrika tamaa yao kubwa ni kuona wanapata madaraka makubwa kwa kipindi kifupi cha lala salama kabla ya uchaguzi pasipo kuyaishi maisha ya wananchi wanaotaka kuwaongoza. Kipindi hiki cha uchaguzi tutashuhudia viongozi wengi wakipitapita mitaani, wengine...
  7. Patana na mgomvi wako kabla safari CHADEMA wanafanya kosa la Lowassa wanaingia uchaguzi wakiwa na ugomvi na Serikali,vyombo vya dola,mahakama na Tume

    Kuna usemi mmoja kwenye Biblia unasema Mathayo 5:23-24 “Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako." Lowasa aliendekeza ugomvi na...
  8. Vijana wanasiasa wajifunze kwa nguri wa siasa Lowassa

    VIJANA WANASIASA WAJIFUNZE KWA NGURI WA SIASA LOWASA Kizazi cha kina lowasa na wenzake kama kina JK,Kinana, Mangula etc ni kizazi kilicho anza siasa enzi za Nyerere wakati huo ilikua muhimu kwenda jeshini, kusoma chou cha siasa kivukoni, kushika madaraka ya serikali toka ngazi za chini ndipo...
  9. Kuwapa nafasi wagombea kutoka CHADEMA kugombea ubunge na udiwani CCM wakati sisi tulimpigania JPM wao wakiizungusha mikono na Lowassa imekaaje?

    Uchaguzi umekaribia, wale waliotuacha CCM wao wakamfuata mamvi, wakapata udiwani na ubunge, leo hii wameona uchaguzi umefika wanakuja kwa sharti kuwa wapewe nafasi ya kugombea. Je, sisi tulikipigani chama mmeamua kutuweka kando. Au ni mkakati wa CHADEMA kuja kivingine kuchukua kwa sura ya kuunga...
  10. Kama mnajua Sumaye na Lowassa walikuja Chadema kuibomoa, kwanini mnaendelea kumtukana Dkt. Slaa?

    Siasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA...
  11. GE2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

    Amani iwe kwenu!! Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa ujumla kwani kawasaidia wakina Mama wengi kupata mikopo yenye riba nafuu na vijana wengi kwenda Shule...
  12. Kumbe nguvu ya Mhe. Lowasa ni kubwa na ndio ilikibeba CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015

    Habari za jioni wazee wa kuwaza na kuwazua. Katika harakati za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vijana wa Mhe. Lowasa wanatamba kuwa wale wapigakura Mil. 6 wote walipelekwa na Mhe. Lowasa Chadema. Na siku aliporudi CCM alirudi nao woteee hata Rostam alidiriki kusema Magufuli aachwe achape kazi...
  13. A

    Mbona Edward Lowasa Arudi CCM?

    Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…