logo

  1. N

    Imechukua Miaka mitatu Kuredesign Hii logo ya Xiaomi na Imegharimu $305,000

    Mpaka Sasa sijapata jibu kuhusu wajamaa kuwa ni kiki wanatafuta, Wamepigwa ama Kuna ubunifu gani umetumika hapa. Kwa taarifa walizotoa ni kuwa imechukua Miaka mitatu kukamilisha hii design Mpya na Wamelipa kiasi cha dola za kimarekani $305,000 Kwa designer mjapani aitwaye Kenya Hara
  2. dvj nasmiletz

    Wapi nitaprint logo yangu katika mifuko ya sulfate kwa ajili ya unga wa sembe kwa Dodoma

    Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga.. Logo ninayo tayari Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25 Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi Mnatumia tecnolojia ipi Kuprint au muhuri?? Nipen gharama za kila teknolojia
  3. C

    Logo ya Apple

    Hivi hizi simu za IPhone kuwa na logo ya tunda la Apple huku likiwa limemegwa kidogo ni kwa sababu gani?
  4. alphaMAPHIE

    Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  5. K

    Kenya Rugby League unveils its logo

    The Kenya Rugby League Federation finally has a new logo. This is a culmination of a five weeks long logo search competition that attracted a total of 456 entries from both local and foreign-based graphic designers. The competition kicked off on 14th July running till the 30th of July 2020, is...
  6. Ahmed Saidi

    Je ni chuo gani kina logo nzuri?

    tukiachana na ule mjadala mzito Kati ya simba na yanga kuhusu logo zao, je ni chuo gani kina logo mzuri? Just for fun🤣🤣
  7. Kurzweil

    Simba SC hii Logo mmebuni au mmekwapua sehemu?

    Habari wanaJF, Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine. Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?
  8. wazirib28

    Professional Logo & Brand Identity Design

    Habari! Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika...
  9. devied_coder

    Natengeneza logo, flyer na Poster

    Habari wana JF Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo Natengeneza LOGO kwa matumizi ya ofisi,biashara au matumizi binafsi.Bei ya kutengenezea logo ni Tsh 30,000 na ukinitafuta tutazungumza kuweka mambo sawa Natengeneza FLYER kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwa Tsh...
  10. Che Kalizozele

    Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
  11. Dr Mseti Ibrahim

    Tunatengeneza Business Cards, Logo na Burner

    Tunatengeneza Business Card aina zote, logo, vitabu vya risiti, kava za vitabu na mabango makubwa ya biashara kisha unatumiwa kwenye email yako au WhatsApp popote ulipo itakufikia. Unatuma SMS kwa namba 0755750792 au 0623727260 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. cantona55

    Wataalamu wa graphcs design, tunadesign logo, posters stickers na vipeperushi kwa bei sawa na bure

    habari zenu wakuu, kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia... pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
  13. Boniphace Kichonge

    Mgombea Wa Democrat Mwenye Tabia Za Kishoga Ajitoa Kugombea Urais Nchini Marekani

    Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former President Jimmy Carter, center, at Buffalo Cafe in Plains, Georgia,March 1, 2020. Democratic presidential candidate former South Bend, Ind., Mayor Pete Buttigieg, left, meets with former...
  14. S

    Nembo ya Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam na maneno yaliyoko katika logo hiyo ni vitu vya kutazamwa upya kwani viko kisiasa zaidi kuliko kitaaluma

    Habari wakuu, Binafsi napenda kushauri viongozi wa Chuo hiki kuitazama upya nembo ya chuo kama kweli nembo hiyo inastahili kubaki kama ilivyo au ifanyiwe marekebisho madogo ili iwezeke kusadifu zaidi maswala ya academic kuliko ilivo sasa ambapo,kwa mtazamo wangu,inasadifu zaidi siasa za miaka...
  15. Calvin Donath

    Pata lebo, logo ya bidhaa zako kwa gharama nafuu na upate lunch kutoka restaurant ya Neyscassava BURE!

    OFFER kabambe kutoka D-TECS Group! Chagua huduma unayohitaji kati ya zifuatazo tukufanyie kazi nzuri na TUKUPE ZAWADI kutoka restaurant ya kisasa ya mihogo inayobamba hapa town ya NEYSCASSAVA! Huduma zinazoambatana na OFFER hii; Label designing/ Lebo ya bidhaa zako Logo designing/ Nembo ya...
  16. defashi

    Software development and graphics design services

    Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu: 1. Graphics design a. Logo Design b. Brochure Design c. Banner Design d. Flyer Design e. Products Brand Design f. Software Layout Design 2. Software Development a. Website Design and Development b. Blog Design...
Back
Top Bottom