live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Mwakubusi auliza "Waliodhihaki kuhusu Samia Legal aid vipi leo wamesema chochote kuhusu TBC Live ?"

    Wakili Msomi na Rais wa TLS Boniface Mwakubusi ameuliza kupitia mtandao wa X kama wale walioidhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid kama wamesema lolote kuhusu jambo fulani kupewa LIVE Coverage na TBC.
  2. Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida) Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam. Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila...
  3. Power breakfast live wamuhoji Tundu lissu

    Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
  4. Kipindi Cha LIVE NA G cha EAST AFRICA RADIO ni miongoni mwa vipindi bora vya Radio Tanzania

    Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
  5. Kwanini CHADEMA TV Haikurusha Live mkutano wa Tundu Lissu wakati ilialikwa?

    Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea? Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko Nyerere ?
  6. Uchawi live

    Now nimeshangaa kuona wachawi wapo live kabisa hakuna wanachokiogopa tena yaani hakuna kabisa af wajinga wachache wanaingia king mm japi najua kusoma nyota ila kamwe siwezi ingia live na ili nikusomee nyota uwe umenishawishi sana ila wamachofanya hawa ni aibu sana
  7. Ninashauri michezo ya shirikisho na mingine isiyo na umuhimu isiwekewe LIVE updates

    Kuna michezo mingi ya muhimu ambayo inastahili kuwekewa LIVE updates, michezo ya FIFA, AFCON, UEFA Champions Leaague, CAF Champions League, Ligi kuu bara, nk. Hii michezo mingine inayohusisha timu zisizojulikana na zisizokuwa na michango yoyote katika maendeleo ya soka Tanzania ni vyema ziwe...
  8. LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  9. Live Updates za Guangzhou International Motor Show 2024 (15 - 24 Nov)

    Ni China na Auto show tena, hii inaitwa Guangzhou International Motor Show inayofanyika Guangzhou China kila mwaka, mwezi wa 11 au wa 12. Makampuni mbalimbali ya magari kutoka China na nje ya China yataonyesha magari yao mapya, updates na technology katika sekta ya magari. Huu mwaka kama...
  10. Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  11. Vipaji ( live bands and karaoke) hivi hawa vijana wanakwama wapi kutoka kimuziki?

    Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao. Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga za kila namna. Katika kundi hili utakuta kijana anaimba vizuri hadi kumzidi mtunzi wa wimbo husika...
  12. Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati. Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
  13. Bob Maneke ampigia magoti Mbosso afanye show ya live kabla mwaka haujaisha

    Prodyuza nguli na mtu wa muziki Bob Maneke ametuma ombi maalum kupitia Instagram akimuomba GOAT wa live shows za bongofleva Mbosso. Maneke akiwakilisha kilio cha watu wa muziki cha muda mrefu kutaka live show ya Mbosso. Mimi naongezea ushauri wa Mbosso kuja na band kabisa ya bongofleva maana...
  14. Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
  15. S

    Nataka kuanzisha show ya live stand-up comedy, naomba ushauri wenu

    Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili. Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu au watu baki. Kwa upande wangu nimejipima nimeona naweza kufanya kitu na watu wakakipenda...
  16. LGE2024 Uchukuaji wa fomu Serikali za Mitaa/ Vijiji maeneo mbalimbali nchini kwa upande wa CHADEMA

    Habari wakuu, Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao. Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
  17. US: Hurricane Milton live: Storm surges hit Florida, over 3 million lose power

    Hurricane Milton has weakened further and is now a Category 1 hurricane, according to the US National Hurricane Center’s (NHC) latest advisory. The storm struck Florida as a Category 3 storm late on Wednesday after weakening from a Category 5 storm, leaving more than three million homes and...
  18. Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

    Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida. Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
  19. Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  20. B

    Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer

    Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer https://m.youtube.com/watch?v=FI2RG25sVzk Patrick Nhigula host of America Swahili News in depth conversation with his guest Robert Amsterdam who is an Advocacy and International Lawyer @ 29 September 2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…