live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Live kutoka Serena Hotel, Sandaland anazungumza na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/qn7FSG-L5wc?si=CVINE4L-6CTbtkhD
  3. JamiiForums Tanzania Nandy the African princess mwanamuziki wa kike Tanzania anayeweza kuimba live akaeleweka

    nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika. Na shape kaichonga imeikala bien 😝 Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
  4. B

    JamiiForums Tanzania LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA

    15 September 2026 Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika leo Septemba 15 LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=lFT4XNZsv50 Hon. John W. Heche speaking at the World Democracy Day Celebrations, held today, September 15, 2026...
  5. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Nchemba Bariadi Vijijini

    https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  6. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Akihutubia Itilima

    https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  7. JamiiForums Tanzania Tiktok live za siku hizi zina lengo gani?

    kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa. Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live, anapiga kelele kama kondakta wa daladala au yule muuza mitumba Karume. kamatana! shika box la...
  8. JamiiForums Tanzania App ipi ya kuangalia live football?

    Habari wakuu? Nauliza ni App ipi ya free ninayo weza kuangalia mpira kwenye smart tv? natanguliza shukrani.
  9. JamiiForums Tanzania LIVE: Nchemba Akutana na Wananchi Ilongero

    https://www.youtube.com/live/vKnfRaMqeEI?si=VEfXN02_ql7yhs1V LIVE: WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 06, 2026, anazungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, pamoja na kusikiliza na kujibu hoja...
  10. JamiiForums Tanzania LIVE: Waziri Mkuu Nchemba Katika Jubilei Miaka 25 Mpanda

    https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
  11. JamiiForums Tanzania LIVE: Updates Ruling on whether Prima-facie case has been established

    -Today, Tundu Lissu’s trial reaches another crucial stage as the court delivers its ruling on whether he has a case to answer. If the court finds that he has a case to answer, he will proceed to present his defence. If he is ultimately acquitted, he will have the opportunity to reunite with his...
  12. JamiiForums Tanzania The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
  13. JamiiForums Tanzania Live From Uwanja wa Dr. J.S Malecela Nzuguni Dodoma, Kilele cha Nane Nane, Dodoma Kuchele!.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, Mzee Pasco, niko hapa jijini Dodoma, nikiwatangazia live mubashara, from Uwanja wa Dr. John Samwel Malecela, Nzuguni Dodoma, kuwaletea kilele cha maadhimisho ya sikuu ya Wakulima ya Nane Nane, inayoadhimishwa kitaifa hapa Dodoma, kiukweli Dodoma Kuchele...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Law Society Seeks Live Streaming of Besigye Treason Trial

    The Uganda Law Society (ULS) has petitioned the High Court Criminal Division to allow live streaming of proceedings in the treason case involving opposition politician Dr. Kizza Besigye, Hajji Obeid Lutale, and Captain Denis Oola. In a letter dated July 15, 2026, addressed to the Deputy...
  15. JamiiForums Tanzania Kocha Julio awatukana waandishi wa Crown Fm kipindi kikiwa live asubuhi hii

    Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu. Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga. Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana, Ikabidi Crown Fm wa-...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi ni Millenials ninayemkubali Diamond Platnumz, But kwenye Live Alikiba ni Balaa!

    Ndugu zangu wana jamiii Forums,Natumai mko salama! Binafsi nimekulia kwenye kizazi za kina Dully Sykes lakini ukweli ni kwamba,Namkubali sana msanii wa kizazi kipya aitwaye Diamond Platnumz!,Nimekuwa mshabiki wa muziki wa kizazi kipya tangu enzi za wasanii wenye umri wangu!,Nilishawishika sana...
  17. JamiiForums Tanzania Mieleka ya WWE ni michezo ya kweli au ni movie live?

    Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano halisi, ni tamthilia (movie) inayochezwa live jukwaani! Hapa kuna ukweli wa mchongo huu: 1. Kila...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  19. JamiiForums Tanzania Mkeo akikuomba ruhusa ya kufanya kazi ya “Adult livestreaming” kwa mshahara wa milioni 2 kwa mwezi, utakubali?

    Mfano mke wako au mchumba anakwambia anataka afanye kazi ya online live streaming kwenye majukwaa ya watu wazima.hakuna kukutana na mteja yeyote ana kwa ana anafanya kila kitu akiwa chumbani nyumbani kupitia kamera. Wateja wote ni wa nje ya nchi na atakuwa analipwa takribani 70k kwa siku masaa 4...
  20. JamiiForums Tanzania Live from Four Points by Sheraton: Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda, Akizungumzia Tuzo ya Rais Kwa Mlipakodi Bora na Maadhimisho ya Miaka 30 ya TRA

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Four Points by Sheraton, nikiwaripotia live mubashara, Kikao Kazi kati ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Kuzungumzia siku ya Tuzo ya Rais Kwa Mlipakodi Bora na Maadhimisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…