lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  2. JamiiForums Tanzania Baraza kuu la CHADEMA linapigwa chenga huku linalishwa na hela za donation na ununuzi wa Gali la Lissu ulipigwa chenga mwisho wa siku hela zikagongwa

    Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
  3. JamiiForums Tanzania Njoo mumtetee Mwenyekiti Lissu

  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

    Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu. Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kushinda kesi hii ambayo mzani wa kisheria umepokwa na mamlaka ya kisiasa

    Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo. Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu akigawa chanjo ya pepopunda huko Mahakamani leo 😂😂😂

    Lissu akigawa chanjo ya pepopunda huko Mahakamani leo 😂😂😂
  9. JamiiForums Tanzania Hakika Lissu is destined

    He's a true definion of walking your purpose... He indeed is Kuna watu wa wamekuja duniani ku accomplish jambo fulani mpka lliitimie, mfano wakina Gandi, kina mother Teresa, kina, Tupac Shakur... Thse people risked their own very lives kwa ajili ya kuacha alama. Him, too.... Maana imagine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lissu achangiwe ili anunue dawa. Amesisitiza kuishiwa dawa. Ndani ya masaa 24 zipatikane dawa

    Kila mpenda haki hapa Tanzania achangie angalau Tsh 500/= Itakuwa nia aibu Mwenyekiti kukosa dawa wakati watu wanauwezo wa kuchanga mamilioni ya Pesa.
  11. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ushahidi wa Tundu Lissu

    Hapa ndipo dodoso linaanza kugusa moja kwa moja credibility ya ushahidi na value ya vielelezo. Katuga anaonekana kujaribu kumfunga Lissu kwenye admissions alizokwisha kuzitoa wakati wa cross-examination ya mashahidi, hasa kuhusu tofauti kati ya contradiction na omission. Hoja ya msingi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Waambie watu wangu sina dawa

    “Waambie watu wangu sina dawa” Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo ameomba msaada wa kupata dawa punde baada ya kuingia mahakamani. Mwenendo wa kesi umefikia katika hatua ya upande wa serikali kumuuliza mshtakiwa maswali ya dodoso baada ya Lissu kuwasilisha ushahidi wa kujitetea.
  13. JamiiForums Tanzania Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    "No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye kesi ya Lissu nimejifunza kuwa Ndugu wa Lissu wanaupendo mkubwa sana na Lissu

    Ukiangalia kaka yake na dada yake walivyoactive mahakamani na namna wanavyopambana hapo kisutu ni dhahiri familia yao ina upendo sana. CCM wengi hata undugu wao huwa wa mashaka angalia Polepole mpaka leo hajulikani alipo lakini siyo ndugu zake wala wanaccm wenzake waliofungua kesi na kudai haki...
  15. JamiiForums Tanzania Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

    Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu. Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
  16. JamiiForums Tanzania Ni MABADILIKO Gani Samia alitaka kuyafanya Nchimbi akawa kikwazo? Au ni kukataa kutoa katiba? Kuamulu Tundu Lissu auawe?

    Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi? Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu? Kumuuua Tundu Lissu? Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa? Ni yapi hayoo?
  17. JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Kesi ya Tundu Lissu ukoje??

    Ya Kujiuzulu.... Taarifa zimeshatufikia.. -Tuwaacheni Wafu Wazikane Wenyewe kwa Wenyewe-.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Drama hizi zisizoisha ndani ya CCM na Lissu kuendelea kuwa topic ya kila siku, kuna dalili za utabiri wa Sheikh Yahya kutimia ?

  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu atamuongeza Nchimbi ktk mashahidi wake?

    ..Mama hawezi kuitwa kutoa ushahidi. ..lakini Mpango, na Nchimbi, hawawezi kukwepa samans kwenda mahakamani. ..habari ya mjini ndiyo hiyo.
  20. JamiiForums Tanzania Khaaa, nmepitiwa nikalala mchana huu eti nimeota Lissu katolewa jela na kupewa umakamu wa raisi kama hatua ya 'Maridhiano'

    Ndoto zingine bwana mwishowe ujikojolee na utu uzima huu. Eti nimeota Lissu amekua makamu wa raisi. Sijui nani kanivutisha bange usingizini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…