lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuiga nywele za Lissu siyo uchawa?

    Wanazuoni wameweka wazi kuwa nywele zisizo na mpangilio mzuri ni kiashiria cha awali cha ugonjwa wa akili ... haya ameyasema Flament, F, et al (2025) Someni hyo article
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume waoga kumtetea Lissu ila wanawake wanaweza

    Wanaume mtu anafikishwaje mahakamani mnasimama Kupiga picha tu na kusokota nywele? Lissu wanawake wana uwezo wa kuzuia kila kitu na akaachiwa
  3. JamiiForums Tanzania Sugu na Boni Yai waanzisha "Tundu Lissu Hairy style". Hawatanyoa nywele zao mpaka Mwenyekiti wao atoke gerezani!

    "Huyu jamaa mbona nywele ziko safi hajaelewa somo?" Ni kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Tundu Lissu akimwambia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema @godbless_lema Kauli hii aliitoa akinasibisha na utaratibu wa kutonyoa nywele walioamua baadhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Apreciation post for Tundu Lissu

    Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane. Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na...
  5. JamiiForums Tanzania Nipo Zangu Singapore ila Lissu wamuachie sikutaka kuingia kwenye siasa ila mzee wamuachie tu hana kosa

    Samia Acha uoga mzee huyo hana kosa we ndo una makosa Mnatuforce kuingia kwenye siasa bila kutaka Mnatulazimisha , Mpaka kuna watu Uzi fulan Walisema natumia Pesa haramu za samia kutamba nchi za watu! Kwanza Samia hana uwezo wa kunihonga na hako ka abdu kake! Pili nawasihi msikate Tamaa kama...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili Dkt. Nshala: Ofisi ya DPP imekiuka wajibu wa Kikatiba katika Kesi ya Lissu

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa. Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshikwa pabaya!! Ndani ya wiki moja, Mwigulu amelazimika kuhutubia katika ngome za Lissu na Heche

    Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya. Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo. ..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche. ..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya...
  9. JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ewe mkiristu mkatoliki, fikilia mazingira aliyonayo Tundu Lissu mkiristu mkatoliki mwenzetu, je Askofu Rwaich una hata padri wa kumsalisha?

    Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p. Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
  11. JamiiForums Tanzania Diplomasia iliyomtoa Mbowe ndani ikishindikana, dhidi ya Lissu Kuna hatari kubwa mno, waliomchagua hawana cha KUPOTEZA kama ambavyo Abduli hasingekuwa

    Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama vijana wa kibara wenzake hakika, lazima angetaka au angeona kuwa Lissu anaonewa nae angeandamana pale...
  12. JamiiForums Tanzania Yani Kwa akili ya serikali ya Tanzania Shehe mwaipopo ni mtu mzuri na muhimu Kwa Taifa letu kuliko Lissu

    Labda Mimi ndio sielewi naomba nieleweshwe Yani Kwa mujibu wa serikali yetu TUNDU LISSU ni mtu Mbaya sana kuliko shehe mwaipopo? Kwa kauli hakustahili kukaa uraiani hata sekunde moja hii inanikumbusha hadithi ya BARABA NA YESU KWA WAYAHUDI MBELE YA PILATO.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Tundu Lissu azungumza

    Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
  14. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Viongozi wa Chadema walio baki nje hawafikii hata nusu ya Lissu

    I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement. Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alivyochambua kasoro za Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014

    Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza operesheni Katiba Mpya, Free Lissu Kanda za Kusini, Nyasa, Magharibi

    Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18 na kukamilika Juni 29, 2026 Kanda ya Magharibi. Soma Pia; CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwako Tundu Lissu

    Salaamu kwako Lissu&waTanzania kwa ujumla. Ninao ushauri mdogo kwako ndugu A.T.Lissu. Ninajua,unaijua Tanzania, Na unawajua watanzania walivyo. Mosi. Watanzania kwa asili tu,ni wanafki&wabinafsi. (Katika hili utafiti uliwahi kufanyika,na waTZ wakaongoza duniani) Pili Unaowapigania,hajui...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Jacob Boniface: CCM wako tayari nchi iwekewe vikwazo ili mradi tu Lissu asitoke gerezani

    Akizungumza na wananchi mkoani Mbeya, Jacob amedai chama tawala cha CCM kimeweka mbele chuki na maslahi ya kisiasa na ya mtu binafsi kuliko ustawi wa nchi, akidai kuwa wako tayari kuona nchi inakosa misaada ya maendeleo ili mradi tu sauti ya Lissu izimwe.
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Lissu sio wa kwenda kuhojiana naye, ni wa kwenda kukubaliana naye anachosema

    Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda ameshirikisha uzoefu wake wakati akiwa kazini. Amesema katika bunge aliloliongoza alipata kuwa na wabunge wenye akili kupita kiasi. Soma zaidi hapa chini upate kuona alichokisema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…