lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Sikumaanisha Lissu auawe

    Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe. Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huyu Anayejiita Sheikh Mawinda, mwanaCCM wa Kwa Mwaposa, sikieni utetezi wake dhidi ya Kauli ya Kukata Kichwa

    Kila siku nasema, Huwezi kua na Akili yaan Akili na mwenye Elimu ya kutosha isokua na Kona Kona alafu ukafurahia Matendo ya Jinai yaliyo kinyume na KATIBA Kwa KISINGIZO CHA KULINDA AMAN. Ni Hivi anayetishia Amani, nyuma yake kuna sababu, hizo sababu zake ikiwa zimebeba Masilahi makubwa ya Taifa...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ndo ipo number moja trending youtube

    Huyu jamaa anapendwa Sana na kufatiliwa mno.
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutakuwa wajinga mpaka lini? Kukamatwa kwa Lissu, Jeff na wengine ni kutokana na misimamo ya NRNE si kingine

    Nguvu kubwa sana inatumika kuzima huu moto, Watu wameuawa, wengine wamejeruhiwa, wengine wamepewa kesi za uhaini na uhujumu uchumi, kisa tu wameonyesha msimamo kwamba tume ya uchaguzi si huru na reforms zinahitajika au kwa kifupi NO REFORMS NO ELECTION Kwa kusimama kwao katika haki imekuwa...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh aongezwe kwenye rodha ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Alisikia kwa masikio yake juu kukinukisha ili uhaini ufanyike

    Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha. Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha. Kwa mantiki hii na muktadha huu...
  9. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Kesho nasi tumuombee Tundu Lissu apate kibali zaidi kama leo alivyoombewa mheshimiwa

    Nilikuwa nafatilia online uzinduzi wa Hema jipya la Arise and Shine ya mwamposa pale Tanganyika peckers (KAWE) nimeona Siasa imezidi badala ya Kumuabudu Mungu. Kila mtu awe mtumishi au kiongozi alipopanda jukwaani ilikuwa ni kumnadi mama na mwisho wa SIKU BONIFACE MWAMPOSA mwenyewe akaarika Timu...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Update : Lissu siyo Mgonjwa, Taarifa ya muda huu jion hii

    Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi Britanicca
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje, uwe au usiwe CCM, kufurahia Lissu kuwekwa rumande na kuwa mbali na familia na jamaa zake? Labda uwe na roho mbaya ya kishetani sana

    Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani sana. Kwa mfano, chukulia kibaka amekamatwa akijaribu kupora simu yako. Watu wenye hasira wanaamua...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbunge wa Ulaya Valérie Hayer amepinga madai ya Lissu kuwekewa sumu

  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu anaumwa

    Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana. Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal. Viongozi wa Chadema najua mtakuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naliomba Jeshi la Magereza lizuie chakula anacholetewa Lissu na ndugu zake maana wana mpango wa kuchafua serikali

    Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania CCM adui yenu sio LISSU, Adui yeni ni CCM yenyewe

    Ndungai alilazimishwa kujiuzulu Samwel sitta alilazimishwa kustaafu usipika kwa sababu ya kunyooka. Mangula alilishwa sumu Makonda alilishwa sumu Magufuli alilishwa sumu Magufuli alikufa bado anahitaji kuwa Rais Lowassa alizungukwa na kulazimika kujiuzulu Mwakyembe alilishwa sumu na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe amesema madai ya sumu kwa Lissu hayana msingi, ni njia ya kuzua taharuki

  18. R

    JamiiForums Tanzania Lissu hizi zote ni delaying tactics kukutesa, wanajua kuwa huna kesi ya kujibu ya uhaini, Wanajua wakikuachia wameukosa Urais. UTASHINDA

    Utashinda tu. Treason Case Hearing – July 01, 2025: Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu Calls on the State to Drop Charges, Citing Abuse of Court Process The treason case against the opposition party leader, CHADEMA’s Tundu Lissu, continued on July 1, 2025, during its preliminary stage at...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la ulaya kujua mipango ya kumuwekea Lissu sumu inaonesha kuna majasusi wao wa siri ndani ya mfumo

    Suala hili la kutaka kutekeleza uhalifu huu bila shaka lazima liwe la siri sana ni ajabu ulaya kuligundua hilo licha ya kuwa la siri inaonesha kwenye mfumo flani kuna majasusi. Kama wamejua mpango huu ni wazi wanamjua muhusika mkuu ni nani ila hawajamtaja aliyepanga kumuwekea sumu Lissu.
Back
Top Bottom