lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    PreGE2025 Dorothy semu: Mashtaka ya Lissu ni jaribio la kufunga mdomo wa haki

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu akieleza namna chama hicho kinavyosimama pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na mashtaka mawili (2) yenye makosa manne (4) ikiwemo kosa la uhaini lisilokuwa na dhamana.
  2. PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

    Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake. Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
  3. Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  4. B

    PreGE2025 Kwa kazi kubwa aliyo ifanya kwa CCM, serikali haiwezi kumfunga Lissu

    Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu. Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa. Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi. Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
  5. Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  6. PreGE2025 Je! Tundu Lissu ni nani hasa? BBC wamchambua

    Wakuu huu ndio wasifu wa Tundu Lissu kwa mujibu wa bbc swahili.
  7. PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola. Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:= 1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
  8. PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  9. PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  10. Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  11. Tundu Lissu ni Simba. Samia alikiri hili jambo yeye mwenyewe. Na yeye ni Chura Kiziwi

    Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote. Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba mmoja machachari yaani pamoja na kuwa kwenye cage bado hakuwa mnyonge. Alikuwa akizunguka zunguka...
  12. PreGE2025 Wakili Rugemeleza Nshala: Serikali haina uhakika kama Tundu Lissu katenda kosa la uhaini au la. Wanaendelea kuchunguza, halipo mahakamani

    https://youtu.be/mzQEeiy4TjE?si=fkKNag_Pg0wJdYU_ ➡Kumbe Lissu ameshitakiwa kwa makosa matatu tu ambayo upelelezi wake umekamilika... ➡Kosa la "TREASON" ama "UHAINI" limewekwa "just by the way" tu kwa kuwa hata aliyeandaa shitaka hilo (serikali) naye anasema "bado hana uhakika" kwa kuwa...
  13. Kesi ya Mwalimu 1958, Fidel Castro 1953 na Tundu Lissu 2025

    KESI YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE No. 2207/58, KESI YA FIDEL CASTRO 1953 NA KESI YA TUNDU LISSU Nimeamka na Maktaba. Kwa haraka haraka nimepitia kijuujuu vitabu hivi viwili vya watu maarufu duniani - Mwalimu Julius Nyerere na Fidel Castro wa Cuba wakishtakiwa na serikali zao zilizokuwa...
  14. JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  15. N

    Tundu Lissu azidi kutabiriwa kama mjumbe wa Mungu kuikomboa Tanzania!

    Sikiliza huu unabii kutoka kwa mchungaji maarufu hapa Tanzania: Note: anayeshindana na lissu atakwenda na maji
  16. B

    Kuiasi CCM kunapoitwa uhaini, kutaendelea kumpaisha Lissu na upinzani kitaifa na hata kimataifa!

    Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo. Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao, hakuwezi kuwa kosa la jinai. Kukinukisha dhidi ya CCM hakuwezi kuwa uhaini! Kumbe kwa tafsiri...
  17. Leo Lissu atapelekwa NEC kusaini au NEC itakwends Keko?

    Kama Lissu akikubali kusaini, utaratibu gani utatumika? NEC itakwenda Keko au jambo gani litatokea? Na kama Lissu akikataa kusaini kutakuwa na ramifications gani? Athari gani? Na athari za ziada? Kama Lissu akikubali kusaini itatokea mitigation katika mashtaka yanayomkabili?
  18. B

    Kwa Mfano Rais Dr Samia Suluhu Hassan, akiamkia gerezani kesho kumwona Lissu itakuwaje? Alimuona Kenya na akaenda Ubelgiji pia

    Basi leo wakati wa jioni baada ya mihangaiko nikawa nafanya mazoezi. Ni kawaida yangu kufanya angalau mara tatu kwa wiki. Kwa kuwa tuko ktk kipindi cha maombolezo kipindi cha kuomba toba na neema ya Mungu nilikuwa nasoma Biblia Kitabu Cha Daniel kuanzia sura ya kwanza hadi ya 11 kwa njia ya...
  19. Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  20. PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…