lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Why

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
  2. B

    Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

    Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake. Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi. Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025. Angalizo: Mawakili...
  3. R

    Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

    Kama una muda wa kutsha soma alichokiandika.......uchawa mtupu but worthy of reading! Ona anavyonjudge Lisu ka dhihaka! Extract from the story: Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza...
  4. A

    Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  5. K

    Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  6. Dalton elijah

    Jingu: Lissu anazungukwa na watu wasiokuwa na uwezo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Jackson Jingu, ameibua hoja nzito dhidi ya uongozi wa juu wa chama hicho, akidai kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa (bila kumtaja jina moja kwa moja) amezungukwa na watu wasiokuwa na uwezo wa kisiasa wala kiuongozi. Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  7. The Burning Spear

    Wamemnyamazisha Lissu ameibuka Askofu Gwajima, Naona CCM wakitwanga maji kwenye kinu

    Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni. CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu. Kwa sasa namwona Askofu...
  8. B

    CCM yakiri, Lissu ni mwiba mchungu; ilitamani mno kuwa na CHADEMA yenye mwenyekiti aliyepigwa mweleka, aka: Mwamba!

    Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo: Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti. Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu analalama hivi, "no reforms no election" ni kukamatia hapo hapo mapambazuko ni karibu. "Kamanda...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wakili Ezekiel Mwampaka: Utashangaa hili suala la Lissu linapigwa kalenda mpaka uchaguzi kuisha halafu baadae mtasikia muachieni

    Wakili wa kujitegemea Ezekiel Mwampaka amesema anakubaliana na mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutaka kutofanyika kwa uchaguzi mkuu baadaye Oktoba 2025 kutokana na kudai kugubikwa na kasoro mbalimbali na ukosefu wa tume huru ya uchaguzi. Wakili Mwampaka amesema hayo...
  10. B

    Wafuasi wa Lissu mnacho mfanyia shujaa wenu sio vizuri

    Hero wenu Lissu amekamatwa na nyinyi mmekaa Kimya hamfanyi chochote. Please ingieni barabarani Lissu aachiwe. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
  11. Mshana Jr

    Taasisi za sheria za Afrika na dunia zimeijia juu Tanzania kuhusu Lissu!

    Taasisi za 9 Wanasheria zimeijia juu Serikali ya Tanzania kwa kumbambika kesi ya uwongo ya uhaini Mhe. Lissu na kumtaka Rais Samia kuirudia ahadi yake aliyoitoa alipoapishwa ya kuheshimu demokrasia na kumtaka amuachie huru Lissu bila masharti yeyote. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni...
  12. Poppy Hatonn

    Lissu ameitwa mhaini baada ya kumsifu Kambona

    Kambona alikuwa anaitwa mhaini. Halafu Kambona aliondoka nchini. Kambona alikuwa ameshinda bahati nasibu ya kimataifa, akapata hela nyingi akaamua kuondoka Tanzania. Halafu akafika Nairobi. Jomo Kenyatta akampigia simu Mwalimu akamwambia tumemkata raia wako mmoja ana hela nyingi sana. Tufanye...
  13. B

    PreGE2025 CCM yakerwa Lissu na wapinzani kubughudhiwa wakiwa kwenye kufanya siasa. "Yataka 4R za mama, ziheshimiwe!"

    Hii si habari mbaya kwa mama kupatiwa mlango wa kutokea: Wanasiasa waachwe wafanye siasa! Heko Dr. Nchimbi rhumba liendelee: Kazi iendelee. "No reforms no election!"
  14. LIKUD

    PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

    👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki. 👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani". 👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
  15. Waufukweni

    Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  16. funaku

    Lissu amechemka, angeanza na reforms ndani ya CHADEMA kwanza

    Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
  17. Jidu La Mabambasi

    Rais, hili la Lissu umeingia mtego, ilitakiwa uendelee kuwa mvumilivu

    Wana CCM tuna ile kitu wakati mwingine tunaita mob psychology. Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe. Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana. Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE. Sasa anapotokea kinyangarika...
  18. Lord Denning

    Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  19. K

    Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki

    Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki kwa wananchi kuchagua mtu...
  20. W

    PreGE2025 Dodoma: Mbunge viti maalumu adai Bwana mdogo Lissu ameishiwa sera

    Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu. Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu === Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
Back
Top Bottom