lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mastaa Lukamba, Rose Ndauka watamani kuachiwa kwa Tundu Lissu

    Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali. Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
  2. JamiiForums Tanzania POTOSHI Huu ni mkutano wa kwanza baada ya Lissu kuachiwa huru

  3. JamiiForums Tanzania Kina nani walitumwa Kwa Lissu kwenda gerezani kumshawishi atoke, je Lissu ni tishio Kwa Serikali?

    Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence. Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi Mkuu 2025 Tumeukwepa, Asante Lissu kwa kutufungua macho, Asanteni pia mliomchagua mwenyekiti

    Haikuwa rahisi kuyakwepa haya maigizo. Asanteni sana.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, mashahidi kutoka Kenya na Uganda, watakuwa na wajibu gani kisheria katika kumsaidia Lissu?

    Habari! Wanasheria, tunaomba mtusaidie walau tuweze kujua ni nini utaluwa msaada wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Lissu. Kwa maneno mengine, wata- play role gani kwenye hii kesi wakiwa kama mashahidi wa mtuhumiwa? Binafsi, nawaza labda...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu aondoke nchini

    Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais. CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

    Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER. Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo. Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini. Kupitia maneno yake na matendo yake...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Tito magoti: Lissu amekataa offer kutoka kwa Samia ili aachiwe

    Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko Anasema hivi Scenarios za washauri wa kizimkazi: 1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais. 2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

    Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi. Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA Nitaendelea
  11. JamiiForums Tanzania Naona umuhimu wa kumpeleka shule mtoto wa kike, wanawake wamekuwa na muamko mkubwa sana wa haki na misimamo imara. Binti zangu watapata elimu pia

    Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri. Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili Katuga adai Lissu ameitishia Serikali, mwenyewe ajibu kuwa kauli ya kuzuia uchaguzi sio uhaini

    Leo Septemba 18, 2025, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeendelea katika Mahakama Kuu Dar es Salaam, ambapo upande wa Jamhuri umejibu hoja za mshitakiwa huyo, huku naye akifanya majumuisho ya mwisho. Kesi hiyo inatarajiwa kutolewa uamuzi mdogo JUmatatu Septemba...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu aomba Mahakama kuingilia suala la wafuasi wa Chadema kuzuiwa kuingia Mahakamani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amegoma kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili (kutokana na ratiba ya leo) hadi hapo hoja yake aliyoiwasilisha Mahakamani hapo itakapotolewa uamuzi na jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru Baada ya Majaji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

    Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo. Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni. Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona...
  16. JamiiForums Tanzania Waraka kwa Heche na Wapigania Demokrasia wote

    1 Heche na wenzake wapigania demokrasia, watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Watanzania wote walioko katika mapambano ya demokrasia na katiba mpya, pamoja na viongozi wao na wanaharakati wote: 2 Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi. 3 Namshukuru Mungu...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu akataa kujibu kuhusu kesi yake ya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini baada ya mapingamizi yake kutupwa na Mahakama, Mahakama ikataka kumsomea mashitaka yake ili ajibu ndio au hapana lakini Lissu akaibua hoja za kueleza na kufafanua kuhusu kosa la uhaini pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kusomewa shitaka lake, Tundu Lissu aweka pingamizi dhidi ya hati ya mashitaka ya kinachoitwa "kosa la uhaini" kukosa uhalali wa kisheria

    Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025... Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Lissu hataachiliwa na mahakama wala serikali, bali Mama mwenyewe au sisi wenyewe tukiamua

    Tunafeli hapa: 1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni? 2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa kideli? 3. Vipi wanachaguliwa hawa wanaopigwa huku tukiangalia tu? Pia soma: GE2025 - Kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…