Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...