Kwa heshima na uzito mkubwa wa kiakili na kijamii, natangaza kwa sauti ya wazi na isiyoyumba kuwa vijana wengi wa kizazi hiki wanapoteza dira, maadili na mwelekeo wa maisha. Tunaushuhudia ushindi wa ujinga dhidi ya hekima, ushindi wa starehe dhidi ya juhudi, na zaidi ya yote, ushindi wa mitandao...