ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

    Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka. Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool

    26 May 2025 Liverpool , Uingereza Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool. Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia gari kugonga umati wa watu waliokuwa wamejitokeza kusherehekea ushindi wa klabu ya mpira wa miguu...
  3. JamiiForums Tanzania Ligi ya Hispania ni mbovu kulinganisha ya Uingereza

    Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu anajifikiria cha kufanya yupo kwenye box la timu pinzani. Huo muda hupati uingereza yani weekend...
  4. JamiiForums Tanzania TFF/bodi ya ligi mjifunze CAF kiongozi ujue kuheshimu kanuni na sheria mnazotunga..Muwe na msimamo.. Msitie aibu tena viva CAF

    NIANZE kushukuru Mungu Allah swbaahannah watalla Mjaza Neema Ndogondogo na KUBWA Ndefu na fupi Nene na nyembambaaaaa NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
  5. JamiiForums Tanzania Nimemeliza ligi hivi ..Kwa wazee wa mikeka ....

    Kwa kuomba Kipindi Cha pili ya lipatikane goli na yasivuke matatu.... Woooi .... Angali mechi ya Marseille ..alipata 3 ... Nakaza mbupu ..mechi ya Lugodorets..mechi ya Rakow ...mechi ya Marseille mechi 27 ..nimeomba kipindi Cha pili lipatikane goli lakini yasivuke matatu.. mechi ya le Havre...
  6. JamiiForums Tanzania Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

    #LaLigaEASports Barcelona ndiyo mabingwa qa ligi kuu ya Hispania 2024/25. Hili ni taji lao 28. FT': Espanyol 0-2 Barcelona
  7. JamiiForums Tanzania Kila timu inayoshiriki ligi ya mpira ya Tanzania itapewa sh billion 1 kama fedha ya maandalizi ya msimu

    Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajili ya maandalizi ya ligi kuu ya Tanzania na baadae fedha itaongezeka itakuwa billion 2, 3 nakuendelea na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kama CAF champions, & CAF confederation fedha itaongezeka Multiplier...
  8. JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini mechi za yanga Bodi ya Ligi imeziweka mbali

    Bodi ya Ligi inamtafuta Nini Yanga, yani wamepanga mechi za yanga mwishoni mwa mwezi wa Sita , yanga anacheza Leo tarehe 13.05.25 , mechi ingine inayofuata ni tarehe 18.05.25 mechi ingine ni tarehe 15.06.25 hapo Kuna gape la siku 27 yanga atakuwa hajacheza mechi, hii imefanywa makusudi Ili...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

    Match Day Vikosi vya Leo. 1. Simba 2. Pamba SC Mechi imeanza (Kick Off) 4' Hakuna bao pande zote 08' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18, anapiga Ahoua inaishia kwenye mikono ya kipa wa Pamba. Game on 0-0 11' Mpira unaendelea umiliki kwa Simba, wanaingia sana kwa Pamba. Refa...
  11. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi hawajui majukumu ya timu mwenyeji

    Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani Majukumu ya timu mwenyeji 1.kuandaa uwanja na vifaa Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

    Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii TFF. Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
  13. JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

    Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni. FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake. FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
  14. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Veterans: Simba SC 2-0 Azam

    FT Simba 2-1 Azam Nimefarijika sana kuwaona wachezaji wakongwe wa Simba. Nikiri kwamba hawa ndio watu waliofanya nianze kushabikia Simba SC enzi za RTD na mtangazaji Juma Nkamia na Bin Swed Dua Bin Saidi Pamba Lufo George Masatu Kipa Kelvin Mhagama Chombo Redondo Haruna Boban Adam Kingwande...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Timu zetu ndogo za NBC Ligi haya yanayoendelea mnajitakia wenyewe

    Tulishatoa ushauri humu kwamba mtengeneze umoja wenu..na ikiwa itawafaa msusie kuendelea na michezo ya ligi iliyosalia hadi mtakapohakikishiwa michezo yenu itachezeshwa kwa haki kwa level sawa na vigogo wa ligi. Shida ninayojaribu kuinote hapa huenda ni kwasababu 70% ya timu za NBC ligi ni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa FA ubadilike. Timu za ligi kuu zicheze wenyewe kwa wenyewe

    Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja. Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde...
  17. JamiiForums Tanzania Leeds Utd pamoja na Burnley zapanda Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26. Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaomba viongozi wa Simba wafanye mpango Simba ikacheze ligi kuu ya Misri

    Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Tushangilie kumfunga Mwarabu ila tujue tu kuwa Yanga SC kwa 99% Bingwa tena Ligi Kuu

    Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa? Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae. Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
  20. JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…