ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UTABIRI WANGU LIGI KUU 2026/2027.

    Bingwa - YANGA / SIMBA SC. Timu zitakazo shuka Daraja 1. MBEYA CITY FC 2. FOUNTAIN GATE FC MSIMAMO KAMILI 1. Simba sc point 80 2. Yanga sc point 80 3. Azam FC point 68 4. Singida black stars point 63 5. TRA united point 48 6. JKT Tanzania point 47 7. coastal union point 43 8. Mashujaa point...
  2. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TFF kwa Video Support kwenye ligi, So far so good

    Inakera sana makosa ya kibinadamu yakitumika kudhoofisha jitihada za timu, makocha na wachezaji kuwekeza kwenye ushindi wa timu kiwanjani. Video support kwenye ligi ya NBC mpaka sasa imeleta utulivu wa hali ya juu. Kelele juu ya waamuzi mpaka sasa hazijasikika au ziko kwenye low mode. Tumsifu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  4. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu imeanza leo 14 Agosti 2026, timu yako inahitaji nini ili ibebe kombe la NBC?

    Wada wa michezo na wapenzi wa mpira wa miguu kwa nchi yetu leo ndio tunaanza kuhesabu magoli na ponti kwenye timu zetu. Leo dimba la Ligi kuu limeshafunguliwa kwa Pamba Jiji na Dodoma, Vipi timu yako unaona inahitaji nini ili muweze kubeba kombe la ligi kuu?
  5. JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  6. E

    JamiiForums Tanzania EPL isharudi Msimu 202627, JamiiForums Fantasy League imerejea. Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali

    Habari za siku nyingi , EPL isharudi Msimu 202627 , JamiiForums Fantasy League imerejea . Jiunge uoneshe uwezo ushinde prizes kutoka Fantasy EPL na ligi ndogo mbalimbali zilizopo nchini . JamiiForums Fantasy League bado ni just for fun na kukujengea uwezo wa kushinda kwenye ligi mbalimbali na...
  7. JamiiForums Tanzania Funzo: Ukizidiwa kubali yaishe, sio kuanzisha ligi

    Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia kamaliza, wachambuzi wa mpira wanabwabwaja kwenye mike badala ya kuchambua mpira. Ligi ikianza wajirekebishe.

    Wachambuzi wetu wanakera sana. Wanahukumu wachezaji, viongozi wa timu, wafadhili, waamuzi, bodi ya ligi, TFF kama vile wanao ushahidi wa kile wanachokihukumu. Wamepata ajira kwenye chombo cha habari cha mtu lakini wanakaa nyuma ya mike ya chombo hicho wakiwa kama wasemaji wa Simba au Yanga...
  9. JamiiForums Tanzania CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga, Azam, Singida Black Stars na Fountain Gate Academy kuhamia ligi ya Zanzibar Muda wowote kuanzia sasa

    Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa. Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
  11. JamiiForums Tanzania Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  12. JamiiForums Tanzania Messi aumia kwenye mchezo wa ligi wiki chache kuelekea Kombe la Dunia, Waargentina wajawa na hofu

    Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS. Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake. Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup. Jeraha la Messi...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mechi kali ligi kuu India kati ya wahindu na waislamu siyo ya kukosa

    Mechi kati ya timu za mpira kwenye ligi kuu India Mohammedan SC vs Mumbai city FC. Ni mechi kali kwenye ligi kuu India inayowakutanisha Kobaz (Mohammedan SC) na wahindu (Mumbai City) Unaambiwa kobaz wa mohammedan SC wabishi wanacheza rafu za hatarii nakupiga ngwara balaa. Waamuzi watakuwa na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu inaendeshwa Kihuni

    Hii ligi sijui wanatumia vigezo gani kuiweka ligi namba 5 kwa ubora Afrika. Mojawapo ya adhabu ziluzotangazwa na bodi ya ligi ni adhabu ya kufungiwa shabiki wa yanga anayeandamana na benchi la ufundi. Hivi shabiki anawezaje kukaa kwenye benchi la ufundi, ina maana mtu yoyote anaweza kukaa...
  16. JamiiForums Tanzania Full Time: KMC 0-1 Yanga, Mei 6, 2026, Ligi Kuu Bara

    Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara. KMC imeendelea kuwa na hali mbaya kwa kuwa imebaki mkiani kwenye msimamo ikishika nafasi ya 16, ina pointi 9 katika mechi 21
  17. JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna Wachezaji wanalipwa Laki 2 wengine wanalipwa Milioni 50

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu. Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Timu za England zilizofika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi

    Graphics: InfinityFootball
  19. M

    JamiiForums Tanzania Full Time: Ligi Kuu: Namungo 1-3 Simba. Majaliwa Stadium 19 Aprili 2026

    Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa Majaliwa Stadium. Vikosi vya leo Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye 25' Simba wanapata bao la 2 mfungaji Oura 30' Namungo 0- Simba 2 33' Namungo wanapata bao la kwanza kwa mkwaju wa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

    1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United 2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal) 3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. ( Done deal) 4. Mohamed Bajaber ataachwa na Simba SC mwishoni mwa msimu ( Done deal) 5. Ladack Chasambi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…