leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kujaza abiria kuzidi uwezo wa gari, kupiga honi bila sababu, utakatwa points za leseni

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Yafuatayo ni makosa yanayoweza kukupunguzia points za leseni yako...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi na malori msikubali yaishe hadi suala la kurenew leseni ya Class C litatuliwe

    Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado. Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  5. JamiiForums Tanzania Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

    Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu. Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
  6. JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leseni ni kama kadi tuu. Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa. Haya mambo mtu anajifunza...
  7. JamiiForums Tanzania Maoni Yangu: Huu ndio Muarobaini wa Ajali za Barabarani - Kila Dereva Awe na Leseni, na Mfumo wa Pointi Uboreshwe, Uwe na Ufanisi.

    Ndugu zangu wa JamiiForums, Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali imetoa leseni zaidi ya 30 kwa wachimbaji wadogo 400 huko Kwimba,Mwanza

    Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimesoma Chuo cha Udereva Meru, kwanini sasa natakiwa kusoma tena nikiomba leseni?

    Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili. Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni. Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dereva alalamika Askari wa barabarani kuwakatia Point kwenye leseni

    Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mfumo wa Pointi Leseni: Usawa Wapi?

    Habari za wakati huu wadau, Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu. Suala la dereva kupewa piont 15 kwa muda wa miaka 5 sio sawa, labda ingewekwa kila mwaka dereva...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Dereva aliekuwa akiendesha gari huku akichati , kufutiwa leseni asiendeshe chombo chochote maisha

    Je ni kweli dereva huyu aliyekuwa anachati amefutiwa leseni yake ya udereva.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo, Wilaya ya Ilala kinachukua muda kushughulikia leseni

    Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni. Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao...
  16. JamiiForums Tanzania Nina shida na mtaalamu wa leseni za Tanzania Gaming Board

    Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana...
  17. JamiiForums Tanzania Madereva Dar kufungiwa Leseni!

    Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati. 1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote. 2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya makazi

    Wakuu habar ? Naishi Dar es salaam naomba mwenye kujua jinsi ya kupata leseni ya makazi na gharama zake Kwa ujumla.
  19. JamiiForums Tanzania Wakili Johnson Johannes Kachenje asimamishwa kazi baada ya kuwasilisha hukumu zilizotengenezwa kwa AM (Akili Mnemba) AI, Mahakama Kuu, Dodoma.

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo zilizotengenezwa na mfumo wa Akili Mbandikiza (Artificial Intelligence - AI). Hukumu hiyo imetolewa...
  20. JamiiForums Tanzania RMO Chunya na Songwe: Tekelezeni agizo la Serikali — Leseni zisizofanyiwa kazi zifutwe, Zikiwemo Shanta Mining na Wamala Resources Ltd

    RMO Chunya na Songwe, tunawaomba mchukue hatua za haraka na za kisheria dhidi ya leseni za utafiti wa madini ambazo zimepitwa na muda au hazifanyiwi kazi, badala ya kuendelea kuacha maeneo makubwa ya madini yakiwa yamefungwa kwa miaka mingi. Kuna taarifa zinazoonyesha kuwepo kwa leseni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…