leo.

Leo is one of the constellations of the zodiac, lying between Cancer the crab to the west and Virgo the maiden to the east. It is located in the Northern celestial hemisphere. Its name is Latin for lion, and to the ancient Greeks represented the Nemean Lion killed by the mythical Greek hero Heracles meaning 'Glory of Hera' (known to the ancient Romans as Hercules) as one of his twelve labors. Its symbol is (Unicode ♌). One of the 48 constellations described by the 2nd-century astronomer Ptolemy, Leo remains one of the 88 modern constellations today, and one of the most easily recognizable due to its many bright stars and a distinctive shape that is reminiscent of the crouching lion it depicts. The lion's mane and shoulders also form an asterism known as "The Sickle," which to modern observers may resemble a backwards "question mark."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania BAGAMOYO: Maiti sita zaokotwa mtoni zikiwa ndani ya viroba

    Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya Diwani wa Kata ya Makurunge, Paul Kabile alisema maiti hizo ambazo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Audi leo wamezindua Supercar Audi Nuvolari. Weka order mapema, zinatengenezwa 499 tu!

    Audi leo wamezindua hybrid supercar, ikiwa inspired na “magari” ya Formula 1, wakaiita Nuvolari, na hii imekuja kumreplace Audi R8. Hii ni supercar ya kwanza hybrid kutoka Audi, inakuja na top speed ya 350 km/h, acceleration kutoka 0-100 kwa sekunde 2.6 na 0-200 kwa 6.8 seconds. Kwakua ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sharpeville Masacre, March 21st 1962 kwanini inakumbukwa Duniani mpaka leo. October 29, 2025 itakumbukwa kwa mtindo huo milele na milele

    Inasikitisha.....Naona CCM inakwenda kwenye mkondo wa Sharpeville Masacre and here we are! Tume ya jana itakuja na mapendekezo ya kuifuta Sikiliza clip
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu aonekana Mahakamani leo

    Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa. UPDATES: Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Manchester City 2-1 Arsenal | EPL | 19.04.2026 | Etihad

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  6. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuota ndoto mara kadhaa kuwa nitamkuta mama anajifungua njiani Na ndicho nilichokishuhudia leo

    Wakuu ni Leo tena. Huwa sina shaka na ndoto zangu kabisa ila ni sharti ijurudie mara3 ndo inakuja kutimia kwa 97%-100% Mwaka 2024 nikiwa kijijini kwa wazee niliota kuwa naenda kazini night shift nikamkuta mama anajifungua(yaani naingia usiku kazini japo huwa siendi usiku huwa naenda saa10...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

    Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms. Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili...
  8. JamiiForums Tanzania Wanajeshi nao wameamua kukesha leo

    Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ile kazi muhimu na muhimu inafanyika usiku wa leo. Kesho ni siku ya breaking news tu

    Acha wahangaike kuzuia mabasi ya mikoani hiyo kesho, wakati kazi ni leo usiku.
  11. JamiiForums Tanzania Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko. WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri haijaanza hadi sasa, Huenda kesi isioneshwe live Leo

    Inaonekana Leo mahakama inaweza isioneshe kesi ya Lissu Live. Maana mpaka muda huu wanashauriana kama wairushe live au lah. Hii ni kuandaa watu kisaikolojia pale itakapotangazwa ya kwamba mahakama imekubaliana na ombi la wakili wa serikali.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea. Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili...
  15. JamiiForums Tanzania Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

    Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo. Bhasi...
  16. JamiiForums Tanzania Niliwapa ushauri kwa chama kikongwe mgeufata msingefika hapa leo.

    Niliwaambia ili mfanikiwe mnabidi kufanya tathimini kuhusu bidhaa yenu iliyopo sokoni. Watalaamu wa biashara wanaelewa kuwa kuna bidhaa ambazo ni fast moving product na slow moving product. Hauwezi kuwa a good entrepreneur ukapeleka sokoni bidhaa mbili ambazo zote ni slow moving products...
  17. JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

    Wakuu, Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanazidi kuchangamka. Press nyingine imeitishwa leo.

    https://www.youtube.com/live/drS9nkvbYdo?si=Made7F_7LFVP6qqj
  20. M

    JamiiForums Tanzania Boni yai umefafanua vyema leo. Nimeelewa G55 ni nini na udhaifu wao. CHADEMA ametoa mwongozo mzuri kuhama basi

    Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…