Kuna msichana nikikutana nae maeneo flani katika mizunguko ya hapa na pale nikatokea kumpenda, ingawa sikumuweka wazi palepale ila nilifanikiwa kupata mawasiliano yake na yeye mwenyewe ndie alienipa.
Mwanzoni tulikua tu kama marafiki wa kawaida ila baada ya kupita kama wiki moja nikaona...