lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Godfrey Lema: Mzee Edwin Mtei hakuanzisha Chadema kupata madaraka, bali haki na heshima na utu wa watanzania

    CHADEMA Arusha. Kuna nyakati historia huwaita watu wake si kwa maneno, bali kwa dhamira. Jumamosi tarehe 24/01/2026, Tengeru Arusha haitakuwa tu mahali pa mazishi ya Mzee Edwin Mtei, itakuwa mahali pa kuhoji dhamiri zetu kama wanachama wa CHADEMA. Mzee Mtei na wenzake hawakuanzisha CHADEMA kwa...
  2. R

    PostGE2025 Godbelss Lema: ACT ni chama kilichopoteza heshima kutokana na uongo wake na kushiriki uchaguzi Oktoba 29

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani twitter) Kada wa CHADEMA Godbless Lema, ameandika; "Kila chama kinachotaka kuongoza lazima kiwe mstari wa mbele katika kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na demokrasia. ACT, ni kielelezo cha chama kilichopoteza heshima kutokana na uwongo wake na...
  3. R

    Ujumbe wa Jumapili toka kwa Godbless Lema: Kwanini tuko duniani

    Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila...
  4. R

    Serious note ya Godbless Lema juu ya mapungufu ya taaluma, utaalamu, uzembe, elimu ndogo, UONGO ndani ya mifumo ya VYOMBO vya Usalama wa Taifa

    Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
  5. The Burning Spear

    (Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

    Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema: "Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
  6. Avith almachius

    PostGE2025 Godbless Lema: Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi

    Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo...
  7. N

    Lema na Lissu kumbe walipewa hela na Samia wakiwa nje halafu hawana adabu wala ahsante!

    Leo nimemsikia Rais Samia akihutubia wazee ila katoa siri nzito na ambayo nilikuwa naifikiria sana hivyo hivyo . 1. Nakumbuka Samia huyu huyu ndo alienda kumtembea lisu Nairobi kama utu, pia Ubelgiji alimwona na wakaongea kwa kirefu, Kumbe bana alilia lia hana hela ana njaa na aliomba hela...
  8. Waufukweni

    Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  9. Q

    PostGE2025 Unabii wa Godbless Lema umetimia, mmeua vyama vya upinzani sasa pambaneni na Gen Z

    Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata. Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
  10. Just Pray

    Lema aliwahi kumwambia Jerry Silaa 'Wacha kujibu watu ovyo na kipumbavu, your downfall is coming'

    "Wacha kujibu watu ovyo na kipumbavu, kwanI unafikiri wewe ni nani ? Your downfall is coming. Nakuonya, una develop character fulani hivi ya KIBURI SANA.STOP NÓW"
  11. Just Pray

    Godbless Lema: Mungu hawezi kupuuza machozi ya waja wake. Atalipa kwa wakati wake, haki itatimia

    Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
  12. Nipe Maji

    SI KWELI Godbless Lema awashauri vijana, wakimaliza kupiga kura, warudi nyumbani wakalale

  13. MamaSamia2025

    Ninampongeza sana Godbless Lema kwa kuweka maslahi ya familia yake mbele na kuyakwepa maandamano haramu kijanja.

    "Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama". Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
  14. R

    Lema GodBless, usiwe kama Polepole, if needs to be , kimbia nchi for your safety!

    Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi! All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country . DO THE NEEDFUL Epuka kuwa kama Polepole!
  15. October 2pm

    Lema kama unasema serikali ndio watekaji na wauaji mbona wamwomba Mama akulinde. Mama si ndiye mtekaji wenu mlisema. Nyenyenye!

    Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
  16. Mhaya

    GE2025 Godbless Lema aomba kuwekwa mahabusu kwa hiari mpaka kipindi cha uchaguzi kiishe akihofia maisha yake

    Anaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo Mheshimiwa Rais, Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze...
  17. K

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa...
  18. W

    GE2025 Godbless Lema atoa orodha ya waliotekwa/kupotezwa kwenye kanda za kichama tangu kuanza kwa kampeni Agosti 28, 2025

    Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X 1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja Jina: Abedinego Sanga Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa Njombe Umri: Kati ya miaka 28-30. Mahali alipotekwa Kijiji cha Matembwe akiwa kwenye duka lake la...
  19. Superbug

    Utabiri mwingine wa Lema watimia tena

    Kila alichotabiri Lema kimetoke Kwa 98% accurately nakumbuka aliwaonya CCM, Lissu alipopigwa risasi Lema alisema. Mkitumaliza sisi mtaanza kulana wenyewe Kwa wenyewe Sasa Leo yametimia.
  20. Carlos The Jackal

    Mwambieni Heche, Lema ,Golugwa, Mnyika na Top Officias, Watakamatwa muda wowote Kwa lengo la kuwaachia Kuanzia November !!

    Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana . Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie . Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
Back
Top Bottom