latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

    UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza...
  3. JamiiForums Tanzania Dereva Kasuka Makulu: LATRA wanatuvuruga sana, na tunachokiomba sisi madereva swala letu la pointi lifutwe

    Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.” "Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga Marufuku Mawakala kukamata au kuwachomolea funguo Bodaboda na Bajaji

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imewapiga marufuku mawakala wake kuwakamata madereva wa bajaji na pikipiki, kuwachomolea funguo au kufanya shughuli za utekelezaji wa sheria. Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya mawakala wakidaiwa kuwavizia madereva katika makutano ya taa za...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali

    Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela. Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  7. JamiiForums Tanzania LATRA Shusheni Nauli, Mafuta yameshuka mara mbili Mfulilizo!

    2-8-2026 mafuta ya Diesel na Pertol yameshuka zaidi, LATRA simameni na Mheshimiwa rais na wanyonge, shusheni nauli mfumukom wa bei uondoke. Nauli zilipandishwa kwenye Marekebisho yalitangazwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kupitia Gazeti la Serikali mnamo Aprili 17, 2026, na...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Latra hawana msaada ?

    Watu wanajiamulia bei tuu? Hawana namba ya kuripoti daladala?
  9. R

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yote yaishie Stendi ya Magufuli na Mbagala

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa mujibu wa LATRA, mabasi yanayotoka Mikoa ya Kaskazini na maeneo mengine yanatakiwa kutumia Kituo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Responded LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli

    "Tunapogundua magari yanasababisha usumbufu, tumeanza kuyafungia ving'amuzi. Kwa kuwa tunaanza kwa awamu, tutaanza na daladala zote zitakazobainika kukiuka masharti ya leseni zao." Hayo yamesemwa na Salum Pazzy, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Maafisa wa LATRA wanaokamata Bodaboda na Bajaj hawavai sare, wengine hawatoi Control Number wanataka cash

    Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj. Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya maafisa hao wakiwa katika operesheni za ukaguzi na ukamataji bila kuvaa sare au mavazi...
  12. JamiiForums Tanzania LATRA: Rais Samia analaumiwa kwa Ukimya wenu. Mwanri hatokubali

    LATRA inafanya kazi kwa weledi, lakini haina ubunifu, in short watu wanajizungusha tu ofisini kwenye kiyoyozi na kutemblea magari ya serikali. KERO: 1. MASAKI-SIMU 2000 Haya ndio magari mabovu kuliko daladala zozote Dar es salaam . Hizi Daladala zote ni Nissan Civilian za kabla ya mwaka 2000...
  13. JamiiForums Tanzania LATRA- Wanafunzi na Wakazi Changanyikeni waomba Daladala!

    16 Julai 2026 Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), S.L.P 944 Dar es Salaam. Ndugu CPA, Dkt. Habibu J. Suluo YAH: MAOMBI YA KUFUNGUA NA KUSAJILI NJIA MPYA YA DALADALA (MAKUMBUSHO – MAWASILIANO – UDSM – CHANGANYIKENI – GOBA NJIA NNE) Tafadhali husika na kichwa cha...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria tunaoenda hadi Intel kupitia kwa Morombo jioni tunateseka kwani magari huishia Morombo

    Wananchi wanaotegemea magari ya Intel yanayopita Morombo wanakumbana na changamoto kubwa nyakati za jioni kuanzia saa 12. Magari mengi hukataa kuendelea na safari hadi Intel na huishia kupakia abiria wanaokwenda Morombo pekee. Hali hii imewasababishia usumbufu mkubwa wasafiri, wakiwemo...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Arusha - Moshi Nauli Zaliza Abiria: LATRA ipo likizo huku Kaskazini!

    Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA. Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni 2000, sasa je , aboiria anayeshuka mferejini, Kibosho Road, SAdala alipe nauli ya Sanya juu? na kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KERO: EWURA mmetangaza kuwa bei ya Mafuta ya petroli na dizeli imeshuka, JE LATRA nao mbona hawatutangazii bei mpya za nauli?

    Moja kwa moja kwenye kero yangu: Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam . Bei mpya Petroli: Sh 3,990 kwa lita Dizeli: Sh 4,182 kwa lita mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa LATRA kusitisha vibali vya daladala njia ya Mbagala kuingia mjini ili kupisha Mofat pekee ni kwa maslahi ya nani?

    Wadau, tutakumbuka kuwa wiki kadhaa zilizopita kampuni ya Mofat, inayotoa huduma ya usafiri wa Mwendokasi katika njia ya Mbagala, ilieleza mbele ya viongozi wa Serikali kuwa ina takribani mabasi 150 ambayo yamekuwa yameegeshwa kwa muda mrefu bila kutoa huduma. Awali tulikuwa tukisikia tetesi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imesikiliza maoni ya wananchi inapoikubalia Kampuni ya MOFAT ombi LATRA kuziondoa Daladala Mbagala?

    Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
  19. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa LATRA unaenda kuwa mzigo kwa wasafiri wa Kisemvule, Vikindu, Mbande Kisewe

    Baada ya serikali kutoa daladala za Kimara Mbezi hali ilikuwa mbaya sana kwa pande zote, msafirishaji UDart alizidiwa na abiria waliteseka kutokana na mahitaji kuwa makubwa. Mabasi mengi yalichoka yakakosa service yakapungua haki ikazidi kuwa mbaya. Hatua iliyofuata serikali kupitia LATRA...
  20. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Tunaomba LATRA kutoa rasmi waraka wa nauli mpya ili Waajiri wafanye mabadiliko katika malipo ya Watumishi

    Kumekuwa na ongezeko la nauli za mabasi ya mikoani katika miaka ya hivi karibuni, lakini hadi sasa LATRA haijaweka hadharani waraka au PDF mpya ya viwango vya nauli. Hati inayopatikana kwa urahisi ni ile ya mwaka 2023. Kutokana na hali hiyo, waajiri wengi wanaendelea kutumia viwango vya nauli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…