Larry Madowo (born 14 July 1987) is a CNN International Correspondent and host of the African Voices Changemakers and Playmakers series. He was previously a North America Correspondent for the BBC and also anchored breaking news and presented BBC World News America from Washington, DC. He was a 2019–20 Knight-Bagehot Fellow in Economics and Business Journalism at Columbia University in New York and the BBC Africa Business Editor until 2019. He is a reporter, broadcaster, writer and news anchor whose range includes business, technology, current affairs, politics and popular culture. His work has been featured on major global outlets including the BBC, CNN International, the Washington Post, and The Guardian.
Madowo started his career in Nairobi as a Trainee Reporter at KTN and then as a Business Anchor at NTV Kenya where he worked twice, he later anchored and reported business and financial news at CNBC Africa before returning to NTV. He resigned from the station in March 2018 to join the BBC. He hosted The Larry Madowo Show on Nation FM from August 2014 until June 2016 and wrote a weekly column in the Daily Nation every week named #FrontRow from 5 August 2014 until 8 February 2018. In Kenya, he is best known for hosting a popular Friday night show called #TheTrend on NTV Kenya from December 2012 until 30 June 2017.
Hakuna malipo au?
Kulikoni yupo kimya kuposti video na picha za watoto na akina mama waliofumuliwa mafuvu kwenye vita inayoendelea hapo Sudani, lakini pia ile ya Iran dhidi ya Israel na Marekani?
Artificial intelligence imemshinda kuungaunga na kutengeneza picha na video za mchongo za maafa ya...
Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa Frontline yani mstari wa mbele vitani.
Sasa Larry Madowo kupitia kituo cha CNN kafanya full...
kutoka kwa nguri wa habari Larry madowo:Why is the African Union getting cooked for this statement on Venezuela?.
Maana afrika kama futuhi fulani.Kwa hiyo ya afrika ni kama hakuna wenye uchungu.
Barua hii hapa umoja wa afrika unaonewa wivu
Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na ushahidi uliomo kwenye makala kujibiwa au kukanushwa, amekuwa akishambuliwa binafsi.
Aidha, ameweka...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Larry Madowo ametoa taarifa ya majibu ya Meta sababu za Kufungia Account ya Instagram ya wanaharaki Maria Sarungi na Mange Kimambi;
"Meta inathibitisha kwamba ilizuia akaunti ya Instagram ya Maria Sarungi-Tsehai nchini Tanzania baada ya amri ya...
"Niliiuliza Meta kwa nini ilifuta akaunti ya mwanaharakati wa Kitanzania Mange Kimambi na ikazuia akaunti ya Maria Sarungi nchini Tanzania, lakini sikupata majibu. Meta inamiliki Facebook, Instagram na WhatsApp."
"Akaunti ya Mange Kimambi ya Instagram imefutwa kabisa na amezuiwa kutumia...
Wakuu
Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29
Yawezekana ulianza kumskia huyu jamaa juzi after 29 ila uhalisia ni, kokote kwenye picha mbaya ya Afrika huyu jamaa yupo, Baadhi ya wazungu hujitahidi kupeleka maneno ya kuonyesha Afrika ni sehem nzuri kwa wenzao lakini yupo jamaa anaitws Larry Madowo, huyu mwamba ni master wa kuchafua nchi za...
Katika ulimwengu wa habari unaobadilika kwa kasi, kinachotofautisha mwandishi wa habari wa kawaida na mwandishi shupavu si tu kalamu, kamera, au kipaza sauti—bali ni ujasiri, dhamira safi, na uzalendo kwa jamii yake. Kwa muda sasa, jina moja limekuwa gumzo, likizunguka kwenye midomo ya...
Serikali ya Tanzania imefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu uchaguzi wenye utata uliofanyika takriban siku 25 zilizopita.
Larry Madowo wa CNN ameripoti kuwa mkutano huo ulifanyika baada ya uchunguzi wa CNN kuhusu vifo vilivyotokea wakati wa uchaguzi. Hata hivyo, licha ya...
To avoid concealling information, elekeza specifically satellite zimulike, nchi iwe Kiganjani mwa satellite.
Hatuna ubaya na nchi yetu, tunataka kujua ukweli wa nini kilitokea AFTER. BEFORE tunajua maana tuliona kwa macho yetu wenyewe.
Ni hilo tu
He lives a very laxurios life of travelling.!
Currently he has one mission that is to smear the image of Tanzania as a tourist destination.
He is supposedly undercover operative who use CNN to his country advantage aiming at destroying Tanzania economy.In recent investigations the Tanzania...
Shida ya serikali yetu imechukua mizizi kwamba njia pekee ya kuwanyamazisha wananchi ni kuwatia mbaroni au kuwatisha kwa jeuri au kauli kali. Wamesahau kabisa kwamba kila siku watoto wa binadamu wanazaliwa. Kwa hiyo, kila siku wanaharakati wapya, wenye damu changa na shauku mpya, wanakuja...
Wakati vyombo vingi hapa Bongo vinewekwa Chini ya makwapa ya serikali, muandishi kutoka Kenya "Larry Madowo" ameendelea kutoa somo kwa wanahabari ya namna ya kuripoti habari bila kuegemea upande na bila kificho na kuzudi kujipatia umaarufu mkubwa Tanzania...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kuwaambieni ya kuwa yule mwaandishi wa CNN aliyetumika kutuchafua na kuunga unga habari zenye lengo la kuharibu sifa nzuri ya Taifa letu ni Mkenya. Ikumbukwe ya kuwa kenya ilikuwa inaonekana kama ndio Nchi yenye uchumi mkubwa hapa Afrika mashriki.
Ambapo pia...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria
Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.