larry madowo

Larry Madowo (born 14 July 1987) is a CNN International Correspondent and host of the African Voices Changemakers and Playmakers series. He was previously a North America Correspondent for the BBC and also anchored breaking news and presented BBC World News America from Washington, DC. He was a 2019–20 Knight-Bagehot Fellow in Economics and Business Journalism at Columbia University in New York and the BBC Africa Business Editor until 2019. He is a reporter, broadcaster, writer and news anchor whose range includes business, technology, current affairs, politics and popular culture. His work has been featured on major global outlets including the BBC, CNN International, the Washington Post, and The Guardian.
Madowo started his career in Nairobi as a Trainee Reporter at KTN and then as a Business Anchor at NTV Kenya where he worked twice, he later anchored and reported business and financial news at CNBC Africa before returning to NTV. He resigned from the station in March 2018 to join the BBC. He hosted The Larry Madowo Show on Nation FM from August 2014 until June 2016 and wrote a weekly column in the Daily Nation every week named #FrontRow from 5 August 2014 until 8 February 2018. In Kenya, he is best known for hosting a popular Friday night show called #TheTrend on NTV Kenya from December 2012 until 30 June 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni kama anatoa shule ya kuripoti habari isiyokuwa na upendeleo huku akizidi kujipatia umaarufu Tanzania

    Wakati vyombo vingi hapa Bongo vinewekwa Chini ya makwapa ya serikali, muandishi kutoka Kenya "Larry Madowo" ameendelea kutoa somo kwa wanahabari ya namna ya kuripoti habari bila kuegemea upande na bila kificho na kuzudi kujipatia umaarufu mkubwa Tanzania...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni Mkenya anayeitumia CNN Kuichafua Tanzania Kimataifa ili Kuinufaisha Kenya. Serikali ifanye uchunguzi na kumpa Onyo Kali

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambieni ya kuwa yule mwaandishi wa CNN aliyetumika kutuchafua na kuunga unga habari zenye lengo la kuharibu sifa nzuri ya Taifa letu ni Mkenya. Ikumbukwe ya kuwa kenya ilikuwa inaonekana kama ndio Nchi yenye uchumi mkubwa hapa Afrika mashriki. Ambapo pia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Yaliyopo kwenye ripoti ya CNN ni machache kati ya mengi yaliyotokea, na yote tunaweza kuyathibitisha

    Mwandishi wa CNN Larry Madowo amesema pamoja na uwepo wa kampeni na jitihada kubwa za kufubaza ukweli zinazoendelea kwa siku mbili sasa kwenye mitandao ya kijamii tangu watoe ripoti yao ambayo ameiita ni sehemu ndogo tu ya uchunguzi wao, waliainisha mambo ambayo tu wanaweza kuyathibitisha...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo is not an Investigative journalist, he is just business and economic reporter!

    I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert... my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance. My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

    Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

    Media zetu zimebaki kuonyesha bongo muvi na bongo fleva za nyege nyegezi habari za uchunguzi hawana habari nazo. Genge la kina Balile TEF kazi yao ni kumsifia mama badala ya kusimamia maadili ya uandishi wa habari. Kina Ayo, Mahela macho ni kwenye vibahasha na kuhudhuria matamsha ya misosi na...
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Nimetumiwa mamia ya video, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya Uchaguzi wa Tanzania

    "Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 CNN inaandaa ripoti ya mauaji yaliyofanywa na Polisi kwenye maandamano. Larry Madowo awataka Watanzania wamtumie ushahidi

    Wakuu Hii issue ishakuwa serious -------------------------- Mtangazaji wa CNN, Larry Madowo, ametoa wito maalum kwa wananchi wa Tanzania ambao wamepata matukio ya polisi na magenge yake kupiga risasi na kuwaua raia wakati wa maandamano ya amani Oktoba 29,, kutuma video, picha na nyaraka...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Sijaenda kuripoti Uchaguzi wa Tanzania kwani inahitaji kibali ambacho hawatoi. Tunajua kinachotokea ikiwa Serikali haikupendi

    Mwandishi wa habari wa Kenya anayefanya kazi na CNN, Larry Madowo, ameweka wazi sababu za kushindwa kuripoti kuhusu uchaguzi mkuu na maandamano yanayoendelea nchini Tanzania dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza siku ya Alhamisi, Larry alisema kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya...
Back
Top Bottom