laptop

  1. Computer4Sale Laptop Zimewasili na Ofa ya Vitabu, Best and Cheap

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
  2. Jinsi Data(mb)za simu zitumike kwenye pc laptop

    Msaada nataka kujua jinsi ya kutumia mb za cmu..zitumike kwe.ye laptop
  3. Fahamu Laptop zinazofaa kwa Designers na Content Creators kabla hujanunua

    Kabla hujafanya uwamuzi wa kununua laptop yako mpya kwa ajili ya matumizi yako ya Graphic designing, Architecture, au Content Creation yafahamu haya. NI MUHIMU! • Category hii ya watu wa aina hiyo, wanahitaji PC (Laptop) yenye uwezo wa kustahimili program zao zenye uwezo mkubwa, kama CAD, Adobe...
  4. D

    Computer4Sale Laptop inauzwa bei ya kutupa

    Wakuu mdogo wenu nina used laptop hp hapa in clean condition naiuza yenye sepecifaication zifuatazo Intel R 1 . 4 .6 ghz 4gb , 64 bit porcessor,na inapatikana kwa 350 k ila kua maelewano picha yake hiyo hapo nashukuru mnakaribishwa. Namba kwa ajili ya mawasiliao ni 0783672221
  5. Laptop nzuri ni ipi? Nataka ya Tsh. 400,000

    Wakuu nawasalimia kwa jina la Yesu Wale wenzetu waislamu salaam aayqum. Wakuu ivi kwa mtu anayesomea Bachelor of Science in Business Information Technology anafaa awe na PC gani? Budget yangu ni 400,000/= je naweza kupata inayoendana na kozi yangu hiyo? Naombeni ushauri.
  6. D

    Computer4Sale Laptop inauzwa

    Lenovo ideapad 110-15IBR RAM 4GB HDD. 500GB PROCESSOR. duo 1.6Ghz Battery >3 hrs Bei 380,000 📞 0767353674 Dodoma.
  7. Hivi Laptop ambayo haina KEYBOARD LIGHT naweza kuwekewa

    Heading imemaliza swali langu. Ni laptop aina ya HP Envy x360 15-aq005na
  8. SoC01 Laptop ilivyobadilisha maisha ya Jojina wa Gairo

    Baada ya kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita mwaka 2013 katika shule ya sekondari ya wasichana Kilakala, Jojina alirudi nyumbani kwao Gairo. Jirani yao Mzee Mkude alikuwa amefungua duka la vifaa vya maofisini na shuleni (stationery) karibu na stendi ya zamani. Hivyo Jojina alimuomba Mzee...
  9. Msaada wakuu laptop yangu (DELL) imegomea hapo toka juzi

  10. E

    Computer4Sale Hp gaming pc -gaming laptop

    Hp probook G4 450 Intel core i7 processor 2.9@Ghz 7th generation Ram 8 gb ddr4 Storage 0.5tb Nvidia geforce 930mx(2gb)+ intel family graphic 620 4gb Window 11 64 pro Highest Hd(1920x1050). Display s:15.6inches Battery 4hr free gamesgta5 &fifa 21and softwares
  11. Computer4Sale Laptop aina mbalimbali zinauzwa

    HP MIN LAPTOP 300,000/= TU INa RAM 2 GB HDD 160 SCREEN SIZE 10.1 Refuerbished Ina Kaa na charge Masaa 10 Call Me 0716889489
  12. Computer4Sale Laptop Zimewasili Na Ofa Ya Vitabu

    LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa...
  13. I

    Msaada wa Mkopo wa dharula Tsh 150,000/=

    Solved
  14. M

    Computer4Sale Computer, Laptop na Printer ndogo sokoni

    Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
  15. N

    Min Laptop ya del latitude 2120

    Kioo cha latitude 2120 kinauzwa bei gan wakuu hiki kilatop kamedondoka kioo Kwishiney kiweka mstari
  16. Android min personal computer

    Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei ni kuanzia TSH ngapi? Uzi tayari
  17. Msaada: Lenovo laptop screen/monitor imevunjika na kumwaga wino

    Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza. Wapi...
  18. Laptop computers 10 zaibwa shule ya sekondari Moshi Technical - Mkoa wa Kilimanjaro

    Kumekuwepo na usiri mkubwa , kwenye sakata la wizi wa laptop computers 10 uliofanyika shule ya Moshi Technical kule kilimanjaro, ambapo shule hii Ina kitengo maalumu cha wanafunzi wenye matatizo ya kutokusikia vizuri. Hii ni mara ya pili kufanyika kwa wizi huo ndani ya mwaka mmoja. Kimsingi...
  19. Tatizo la Laptop kujizima yenyewe

    Habari za wakati huu wakuu Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima nyenyewe, ila nikikaa baada ya mda nikiiwasha inawaka. Mwanzo nilijua tatizo ni betry nikanunua...
  20. Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…