Habari. Msaada tafadhali... Ofisini hapa tumejichanga tumenunua Router ya ZTE model K12 unlimited bundle.
Sasa issue inakuja kwenye kuunga kwenye Laptop yangu Dell Latitude 3340. Wenzangu wote zimeunga fresh tu. Wifi zingine za ofisini zote naziona lakini hii tulionunua peke yangu ndio siioni...
##Extend your laptop battery life
1. Use hibernate mode when the laptop will not be used for an extended period.
2. Calibrate the battery periodically by allowing it to discharge and then fully recharge.
3. Limit the number of applications running simultaneously to reduce power consumption...
HP EliteBook 740 G1
Intel Core i5-4210U
500 GB HDD
8 GB RAM / DDR3
64-bit OS
Dual-Boot: Windows 11 & Linux Mint
Battery: NO
Price: TZS 250,000
Pia, ukihitaji inakuja pamoja na movies & tv series FHD@1080p zenye 400 GB+ pamoja na 30 GB+ za software.
Lenovo ThinkPad X1 Carbon Tablet Gen 3
✅ PROCESSOR
Intel Core i5-8350U processor
8th Generation "Whiskey Lake"
Quad-core CPU
Base clock of 1.7 GHz and max turbo up to 3.6 GHz.
Intel UHD Graphics 620 integrated graphics
✅MEMORY AND STORAGE
8Gb of DDR4 Ram
256Gb of Fast Storage (SSD)...
Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
Tofauti Kati ya GTX na RTX
Na Its MalekoGJ
Kama umewahi kununua laptop au desktop yenye graphics card, kuna uwezekano mkubwa umekutana na maneno GTX au RTX kwenye maelezo ya kifaa.
Lakini, je, unajua tofauti halisi kati ya hizi mbili? 🤔
Kwa ufupi
GTX ni teknolojia ya zamani zaidi ya graphics...
Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna mwenzangu anahitaji laptop for the same use, ila yeye budget yake ni 500K maximum
Naomba msaada kujua...
Laptop Gani Inafaa Kazi Yangu ?
Kwa Nini Swali Hili ni Muhimu?
Kila mnunuzi wa laptop anapofika sokoni au anapotafuta mtandaoni hukutana na swali moja kuu
👉 “Laptop hii itaendesha software zangu kweli? Itakubali printer na projector zangu? Itakuwa na speed Kwenye kazi zangu?”
Na hapa ndipo hofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.